Mombasa BRT utapitisha wapi old town kwenye zile vichochoro au??🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna brt itajengwa nairobi.
Mybe they try Mombasa .
Wameshidwa hata na chato kwa magufuli 🏃♂️🤣🤣🏃🏃♂️🏃♂
Portal ya matokeo ipo siku nyingi sana hata kabla ya 2015!🤣🤣🤣🤣 Hii taarifa nilikua sijaiona. Jamaa kumbe ndio wanataka wafungue portal ya kuangalia matokeo mwaka kesho.? 🤣🤣🤣🤣🤣. Hii tumetumia Tz mbona ni muda mrefu sana. Mdogo angu nilimuangalizia tokeo lake la kidato cha nne 2015 . NairobiWalker nyie mbwa mpo nyuma yetu in so many ways.
BRT Kenya part II loading....!
I pardon your uinformed mind, the first ever Africa Climate Summit proposed to stop depending on big emitters was held in Nairobi in 2023 and Ruto was hosting it and Suluhu was present. Wacha ku repost vitu huelwei
Hehehe unatuuliza tunafeli wapi tena 🤣🤣🤣Tunafeli wapi? Mbona tunapoteza pesa kizembe Kwa Wakunya?
Dar, Djibouti choke with congestion as Mombasa Port comes to the rescue
According to Kenya Ports Authority (KPA), some ships destined for Tanzania are now being diverted to Mombasa Port.www.standardmedia.co.ke
Ndio maana inefficiency hapo Dar Port ni shida ya miaka na miakaHehehe unatuuliza tunafeli wapi tena 🤣🤣🤣
Hehe ishakua shida ya miaka mingi tena?🤣🤣Ndio maana inefficiency hapo Dar Port ni shida ya miaka na miaka
View: https://twitter.com/StandardKenya/status/1732724180854993029?t=QEC5GMSCcoQNO8FW0fWYnw&s=19
Ile deal ya mahindra kuassembly gari zao TZ ikampeleka mbio india kaambulia mkopo
Habari ninazopenda kuzisikia 😀