Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mall sio supermarket pekee...Luna bar,lounges,coffee houses,casinos,movies etc..super ndio hukua main tenant.. Labda mall zenu ni supermarket pekee
 
elewa swali kwanza alafu tuendeleeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ naoana unamsaidia ndugu yako
 
these guys wacompete na Mombasa bana.....
nairobbery iko ligi ingine bana
 
these guys wacompete na Mombasa bana.....
nairobbery iko ligi ingine bana
jibu hamuna la 60 flyovers na 15 interchange πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mwenzako kakimbia alifkiri mm natokea nigeriaπŸ˜›πŸ˜›
 
Kile nakubali dar katupiga chenga no BRT tu. Ila yenyewe ndogo, yasafirisha watu kidogo kuliko the 5th largest commuter bus company in Nairobi. But it is a step towards the right direction
hiyo brt tu ndio naona wametungaria......vitu vingine huwa nawacheka tu
 
I understand them....it's lack of exposure tu....wale honest wenye wamevisit Nairobi know the truth......wengine kama kadoda must play ignorance and pretend to put on a brave face
 
mkenya mpuuzi anataka kuhesabu gari kwenye mall yani wivu umemkamata mpaka mwishoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
I understand them....it's lack of exposure tu....wale honest wenye wamevisit Nairobi know the truth......wengine kama kadoda must play ignorance and pretend to put on a brave face
Mzee leta picha,kwani kigumu nini??
 
Naona umetii kwanza huku ma flyover ni mingi hadi hazina majina....naskia dar mnaname flyover Mara ubongo,tazara etc
mwenzako kakimbia kajua ugumu wa swali, tuoneshe flyover 60 na interchangeb 15 nairobi kasema kwa mdomo wake kua zipo sasa tuoneshe
 
Ichoboy I have proven whatever I said...I am very sorry for the investor who built a mall in the village....dar or Arusha(tourist) was better...take a look
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…