Sasa huo wivu kweli!? Wewe mwenyewe tafakari. In Kenya 120km/h loaded. This one kichwa pekee 137km/h. Wapi na wapi!?
Niliona cheti chako cha shule umepata A nyingi sana kumbeWhich lane?
Is Baba an African word?
What about mama?
What about Dunia?
Na Ulimwengu?
Achana naye huyo nyang'au kichwa maji😁😁😁Niliona cheti chako cha shule umepata A nyingi sana kumbe
hazijakusaidia kitu
Wacha nikupige shule kidogo
Kwenye soma la kiingereza kuna mada inaitwa process of word formation (njia za uundaji wa maneno)
Ambapo kuna aina kadhaa za word formation, which are:-
Reduplication
Borrowing
Affixation
Acronym
Back word formation
Compaunding
etc
Hivyo, njia iliyotumika kuunda hayo maneno uliyotaja ni borrowing process of word formation of which lugha nyingi duniani hutumia njia hiyo ili kujitosheleza ki misamiati which is very normal.
Maneno mengine ya Kiswahili ambayo yamekopwa kutoka kwenye lugha nyingine ni:-
Hijabu (hijab)
Treni (train)
Reli (rail)
N.k
Please usituchoshe ukitaka kujua mengi zaidi lipa ada nitakufundisha otherwise kaa kimya, know your lane then chill.
Kiswahili ni lugha ya kigeni kivipi? Hebu tuambie kinafanana vipi kimuundo na lugha za romance (French, Spanish) au Germanic (English, Dutch) au Slavic (Russian) au Semitic (Arabic, Amharic, Hebrew)?Kiswahili is a foreign language with a combination of Arabic, Hindi, German, Portuguese etc. Again there's nowhere I said English is my mother tongue, I'm only using it so that you can understand what I'm saying. No Kenyan here has ever bragged of English as their language.
Hii ni mada pana sana, hatawahi kukuelewa hadi siku akifa.. nadhani yeye ajikite kwenye kujifunza kuongea Kiswahili tu, huku atuachie sisi weledi wa lugha. He's the major underdog atakusumbua mno..Kiswahili ni lugha ya kigeni kivipi? Hebu tuambie kinafanana vipi kimuundo na lugha za romance (French, Spanish) au Germanic (English, Dutch) au Slavic (Russian) au Semitic (Arabic, Amharic, Hebrew)?
Ila naweza kukupa mifano chungu mzima kukuonesha jinsi Kiswahili kinavyo fanana na lugha za kibantu kama Kizulu au Kishona au Kigogo, Kimakonde, Kichaga, Kikongo na kikikuyu.
Hatunaga kazi mbovu! sisi, Ududu mwingi sana!They should come and experience that facility from regulated standard temperature and lights to world class look and touches, Sauti Sol wenyewe walizima fegi 🚬Unahangaika kupost picha ya kitu hata akionekani eti ili upate faraja 🤣🤣🤣. Maumivu yapo pale pale mzee 👇View attachment 2829707View attachment 2829708View attachment 2829709View attachment 2829710View attachment 2829711the one and only world class airport in the region.
If symptoms persist seek medical advice! Waende hospitali tu hakuna namna😂Nyang’au wamekasirika kweli kweli kuona kichwa cha treni ya umeme kinafanya majaribio wamebaki kuporomosha mitusi
Safi sana umeanza kukubali eehh uku unabana pua 👃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Is this a railway track ama msitu? Again you were saying those trains have a speed of up to 250km/h kumbe ni tu 180km/h
Esp. Latin words!We kima hata english ime incorporate foreign words pia.
Naona njaa imehamia kichwani sasaTanzania is the only African country that want to force Arabic language (Kiswahili) to be theirs😂😂😂
Lakini Kenya ndo nchi pekee tajiri duniani ambayo wananchi wake wanakufa njaa huku kazi kubwa ya rais wao ni kuomba misaada ya chakula na ajira nje ya nchiHow has that helped you escape the web of poverty?… you still remain one of the poorest nations on earth…. Kenya hatuko hio list…facts!
Google zombies of Nairobi you will know what zombies are.You expected a Tanzanian to know what a zombie is?😂😂🤣
Your mother tongue is corrupted Swahili as it uses most of the bantu words which are unfortunately used in swahili pia.We can only communicate using two languages here. One is English and the other is that confused language. If you could understand my mother tongue I would address you using it. Unfortunately you don't.
Uphill kwenye gradient ya 1.6 top speed ni 165kph tanbarare or down hill hadi 205kphView attachment 2829929
Tuliwaambia hii reli imesanifiwa treni kwenda hadi 200km/hr, vichwa tulivyo nunua ndiyo vina kwenda 160km/hr. Ona hapo wakifanya majaribio ya 176km/hr (109 mph).
Naona unatafuta pakutokea tu.Ukubali tu kitu ni poa sanaIs this a railway track ama msitu? Again you were saying those trains have a speed of up to 250km/h kumbe ni tu 180km/h
We don't want to force, kiswahili is already ours!Tanzania is the only African country that want to force Arabic language (Kiswahili) to be theirs😂😂😂
Ile yenu imesimamisha operations kisa mvua!Is this a railway track ama msitu? Again you were saying those trains have a speed of up to 250km/h kumbe ni tu 180km/h
Wanadhani tumesahau. 😂 😂 😂Is this a railway track ama msitu? Again you were saying those trains have a speed of up to 250km/h kumbe ni tu 180km/h