kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,264
- 5,413
Most of us find it strange about you guys..( maybe you are overly Patriotic) but still you never find anything negative with your own system of governance or country in general?.. If you ask any Kenyan to list 10 things that are negative about our country, it would take less than a minute, at least we are honest about ourselves…. In your case , the way you represent a perfect picture of Bongp , one might expect you to be the same level as Sweden yet you are one of the poorest nations on earth… something not adding up…take a deep breadth before responding…😄😄
Shhhshhhhh!… don’t tell them… let them fry themselves..🤣🤣🤣😄😄Yaani, hii treni pamoja na kwamba ni lazima ugly haifikii 140km/h na haina behewa hata moja!? Za Kenya huenda 120 za mizigo zikaenda 80 pamoja na mzigo.
Hii yenu naona ikiendaga 100
Cha pili mbona kurukaruka. Ni reli haziko sawa!?
Umeona vile world class facility hukaa 👇Show us your world class Airport then…and I hope you don’t mean that mabati rolling mills thingy..🤣🤣
🤣🤣🤣 Sea Cliff unapajua wewe.? 🤣🤣🤣 Hiyo picha imepigwa kutokea ferry, Sea Cliff is in masaki, 6km away from CBD.Yaani hii picha sielewi. Yaani, imepigwa Sea Cliff lakini CBD inatokea kama vile!?
Unaposema Kenya hakuna tatizo la njaa unataka kumdanganya nani?😁So hupingi what am saying… Thanks 🤣🤣
Naona mnajifurahisha na kima mwenzako 🤣🤣🤣🤣 Hiyo train hapo inafanya trial run. Mapema yote hii tayari mmeshaanza kuchizika.? Eti we uso mbovu.? Kimbg 🤣🤣Shhhshhhhh!… don’t tell them… let them fry themselves..🤣🤣🤣😄😄
kwani mnaumia mkiwa wapi? shida moja ya watanzania hatuna majivuno ndicho kinachofanya nchi kibao wanatupenda by the way timu ya sudan inacheza leo hapa kwetu mfwatilie na page yao wanaandika kwa kiswahili sio kiarabu😎So hupingi what am saying… Thanks 🤣🤣
#prove ur point#No it’s not and you know it.. wacha story mob.. proof your point…
Ficha upumbavu za Kenya hebu leta hizo zinaenda 120km/h!Yaani, hii treni pamoja na kwamba ni lazima ugly haifikii 140km/h na haina behewa hata moja!? Za Kenya huenda 120 za mizigo zikaenda 80 pamoja na mzigo.
Hii yenu naona ikiendaga 100
Cha pili mbona kurukaruka. Ni reli haziko sawa!?
kwanini umetumia nyundo kuua nzi mkuu!!!😎Umeona vile world class facility hukaa 👇View attachment 2829623
Kwani BRT yenu hadi sasa hivi ina miaka mingapi?Acha ukora. SGR Kenya tayari imeenda miaka 5 nyie bado hadi sahi mnaimba CCM
tuanzie hapoKwani BRT yenu hadi sasa hivi ina miaka mingapi?
Top speed ya treni za Tz ni 205kph but sgr ina gradient ya 1.6 hence the top speed at that gradient is 165kph😂😂😂😂 Wacha wivu we uso mbovu treni yetu inakimbia 160km/h.
Kaumia ☝️☝️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣There's nothing about Tanzania here. These are European architectural designs.
wana demokrasia ya kweli eti.Eti Kenya unaweza kumtukana rais upendavyo sasa mbona huyu nyang'au anafinywa?😁
View: https://m.youtube.com/watch?v=KwZl-FuVPEs
Siku hiz Kivukoni imekuwa sea cliff?Yaani hii picha sielewi. Yaani, imepigwa Sea Cliff lakini CBD inatokea kama vile!?
ana sahau na zile za kwao za ushago ni za wapi.Kaumia ☝️☝️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
sasa hivi kile kiterminal wanalishia ng"ombe pameota majani hatari.Kwani BRT yenu hadi sasa hivi ina miaka mingapi?