Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea kujiona mwafrika wa kwanza kuiona marekani😃😂😎
Am definitely not the first but in case you are curious, I came here at age 15…. So yes I have spent majority of my life here…. And I wanna thank Bongolalas like you for sharpening my Swahili skills… I appreciate this sub forum… my Swahili vocabulary has improved greatly… I lean something new everyday… you taught me the word Nyangau … in response I will teach you by calling you scooby doo … you act like one…🤣🤣😄
 
Wewe nyang’au bado sana, ukikua utabadilika. Karibu😎
 
Eti accepted by kenyans 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kampuni ina miaka 20 lakini haijawah uza gari zaidi ya 10

Tulitegemea kuona toyota zimeisha kabisa au imebaki 2% kenya lakini probox alone iko over 95%
 
Hiyo english siyo ya mtu aliye emigrate Marekani at age 15 acha kudanganya watu kima wewe uko hapo mukuru kwa njenga tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…