Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Are you aware that wewe ni fala? Sasa hizi picha zinamaanisha nini? Not entire Cape Town inafanana hivi. Watanzania ni wajinga wote.
 
Mkuu to be honest cities za South Africa zina negative sides kama vile insecurity uwizi wa mabavu,high jacking prostitution etc licha ya hayo yote Nairobi haiwezi kushindana hapo maybe in skyscrapers!
Must you be idiot? So you know better than wenye walieka Nairobi in the same league with those cities? Actually ni criteria gani umetumia kusema Nairobi can't be ranked in the same league with those cities?
 
Kwa wale waliosema Tz hatujengi tena magorofa marefu. 🀣🀣🀣.
Sasa mmejenga nini? Ama animation ndio inafanya ufurahie?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Watu wanajenga magorofa marefu wewe unafurahia animation πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
This jamaa is soo jinga
 
Sasa mmejenga nini? Ama animation ndio inafanya ufurahie?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Watu wanajenga magorofa marefu wewe unafurahia animation πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mzee hiyo ni proposal ambayo ni approved, waiting for it's contraction to kick off. Au umeumia.?
 
Litajengwa wapi? Mkwepu au Samora?


Au wanavunja lililopo Sokoine Drive?

Watavunja jengo kongwe la TRA - Long room na kupandisha hilo jipya. Opposite na kituo chat Stesheni.

TRC nao wataondoa jengo lao pale maana HQ itahamia Dodoma. Na jengo lingine la Dar stations litajengwa pale pembeni ya Tanzanite station.
 
Sasa hivi naona unachotoa ni povu🀣🀣🀣☝umeishiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…