Hii ndio uchafu gani ??π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Uoga ni kitu mbaya kweliπππ€£. Kumbe ni kelele tu na hakuna kituππ
Rayan, Garissa Finest.
View attachment 2823629View attachment 2823630View attachment 2823631View attachment 2823632View attachment 2823633
You are talking of what you don't know. Kenyan buses have bus chassis, kama mlikuwa mnatumia lorry chassis kutengeneza basi that's upto you. Again all buses in the world are made using square pipes but I don't expect you to know thatπππ. Hata hizo michina mko nazo zimetengenezwa kwa kutumia square pipes.Maintainance how? Mlango unafunguka kama wa nyumba? Finish ya ndani wanatumia vitambaa vya sofa, body za vyuma vya ujenzi, yaan square pipes nk (muulize ahmed baada ya ajali waliona nn), kuna miaka tanzania tulipambana sana na bus zenye chasis za maroli hizo zote zina chasis za roli na kwetu huwezi pata usajili. Ndani zina siti za ajabu ajabu, kuna zile zenye body pana kuliko upana wa tairi za mbele, muulize raqeeb na gari zake sasa hivi zimebadilishwa route zinaingia vijijini huko sababu route za mikoa haziwezi tena kukimbizana na mashine za kisasa.
Siku utanionyesha financial statement ya ATCL ati wametengeneza faida ntahama Jamii Forum kabisa πππUoneshwe ww kama nani π π π π
Na kwann unaumia tulikwambia ATCL ni swala la muda tu na kilichokua kinaitia hasara ni madeni ya nyuma sasa yameisha
Engine iko wapi au itaruka kwa nguvu za kiza?? Na watakaoirusha ni kina nani wagaga wa lamu au??π π π π πTanzanian High School can only dream of this. Nangoja wale roho mbaya wakuje.
View attachment 2823816
Nimekuuliza ukitoa easy coach na modern coast nani mwenye bus nyingi kenya nitajie kampuni tatu tu nasubiria π π π π π π πModern Coast is not even among the top 10 currently. Why are you dreaming? For EasyCoach, they have more buses kuliko top 5 Tanzanian bus companies combined πππ
Uoneshwe ww kama nani ??? Kwanza nijib ww ni kama nani π π π π π πSiku utanionyesha financial statement ya ATCL ati wametengeneza faida ntahama Jamii Forum kabisa πππ
Ebu tuonyeshe barua insonyesha ati deni za ATCL zimeishaπ€£π€£π€£
Kiukweli Mabasi yenu Yana sura mbaya,Bodi chakavu na poor customer care sijui Huwa hamuoni aibu ku post.Wametoroka woteπππ.
Alma Fleet samples.
Ogopa Wazee
View attachment 2823795
Edgard aka Mambo ni Matatu
View attachment 2823797
Antidote aka Istanbul
View attachment 2823799
KickBoxer aka Santiago
View attachment 2823800
King of the Road aka The Sweeper.
View attachment 2823801
Wewe nyang'au weka picha ya ukweli. Ile ya Skyteam; sio hiyo iliyopitia photoshopπKwani wewe ndio unajua kuliko Senator mwenye amesema ndege linafanya kazi? Or you are just repeating what your fellow idiots said here?
Is there any highschool in Tz with even an aircraft wing?ππEngine iko wapi au itaruka kwa nguvu za kiza?? Na watakaoirusha ni kina nani wagaga wa lamu au??π π π π π
View attachment 2824252
Basi nne?πππ If I convert them to money Huku Kenya ni Buscar Moja na Guardian Angel mbiliπππMachame Inv Fleet View attachment 2824263
Ena CoachNimekuuliza ukitoa easy coach na modern coast nani mwenye bus nyingi kenya nitajie kampuni tatu tu nasubiria π π π π π π π
Hizo 4 zimenunuliwa juzi tuu so hapo zilikuwa zinariooti stand.Basi nne?πππ If I convert them to money Huku Kenya ni Buscar Moja na Guardian Angel mbiliπππ
Ati sura mbaya? Can you compare sura ya hii bus na hii Chinese box?πππ€£Kiukweli Mabasi yenu Yana sura mbaya,Bodi chakavu na poor customer care sijui Huwa hamuoni aibu ku post.
Look at Tzn buses πView attachment 2824255View attachment 2824256View attachment 2824257View attachment 2824258View attachment 2824259View attachment 2824260View attachment 2824261View attachment 2824262
Yani kwenu 5 buses ni fleet kubwa?πππ€£π€£π€£. Nimekuambia when it comes to buses hata Uganda imewashinda.Hizo 4 zimenunuliwa juzi tuu so hapo zilikuwa zinariooti stand.
Machame ana route za Mikoa kibao na ana fleet kubwa tuu.
Another fleet ya Machungwa ya Ally StarView attachment 2824274View attachment 2824275View attachment 2824276
Nilishakwambia mibasi yenu Iko ugly na sura na Shepu kama ya Simba ππAti sura mbaya? Can you compare sura ya hii bus na hii Chinese box?πππ€£
Chinese box
View attachment 2824277
Buscar
View attachment 2824280
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ena Coach
Guardian Angel
Buscar
Dreamline
Mash
Nyamira Express
Honest
Tahmeed
All these companies are bigger than Tanzanian bus companies.
So mukiwa na fuselage tayar munakua marubani au??π π π π π πIs there any highschool in Tz with even an aircraft wing?ππ
Imeona iliyopo inavyotumiwa ku-serve interests za Kagame?Hongera Somalia.
Kituo kinachofuata ni Ethiopia na Djibouti,then Sudan & Eritrea.
Ila Kwa nini tusiwe na Standby Army maana vurugu zimezidi
View: https://twitter.com/east_facts/status/1728067052605161870?t=mMODccuIdgaJqvsXScJQaw&s=19