Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe na akili yako kisoda umeiona flyover tu? Lini mmepata BRT? Lini mtapata hiyo asphalt quality? Lini mtapata bridge like that? Tena at the outskirt kabisa?
 
Shida ni hii STV haiwezi kuleta mafanikio bila Tanzania kuwemo ndani. We have had experience before na hawa nyangau kuiba hela za EA. Tz will not join STV mpaka tu address fully issues za security na mapato yatokanayo na STV.
 
Hii isubiri kwanza, ikishawekwa East Africans wote watavamia Tanzania.
 
Aache kudanganya watu matanki ya iliyokuwa TIPPER ni ya nani kama sio ya serikali? Au kwa sababu wamekodishia watu binadsi ndio imekuwa sio matanki yao tena ama wameyauza kinyemela?
Toa tongotongo serikali ya Tanzania haijawahi ku-own TIPER 100% bali kwa ubia! Sasa uache kuropoka ujuha! Kila kitu kipo online na matumizi ya 1980s si ya 2023!
 
The Dense Mwanza City..,😝😝
Mombasa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
View attachment 2820838
View attachment 2820840
View attachment 2820845
Na yuko happy kabisa kupost huu ushuziπŸ˜…πŸ˜…
Na haoni hata aibu kupost 🀣🀣🀣🀣🀣
 
sisi mnashangaa kuongea ukweli? hio ndio tamaduni yetu sida ipo kwenu ingekua bidhaa ni ya tanzania afu huo mtandao ni wa kenya ungeona post zenu na jinsi roho zenu zilivyo.
Kwa hivyo kiufupi ni kwamba unakubaliana na maoni kwenye hizo comments?
 
More Kenyan helicopters have crashed in the last 2 days than there are Tanzanian helicopters πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kama hujui kiingereza msilazimishe kukiongea. Hapa una maanisha nn kati ya hiz mbili?
- Helikopta nyingi za kenya zimeanguka katika siku 2 zilizopita kuliko za Tanzania?
Yes, there are no helicopter crashes in Tanzania, even in this whole year

- Helikopta nyingi za kenya zimeanguka katika siku 2 zilizopita kuliko idadi za helicopters Tanzania walizonazo?
No, we have more than two helicopters
 
Pia Dubai kwa mwarabu ni city.., usilie dogo, zoea, ni hali ya anga tu.,., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
View attachment 2820908
View attachment 2820907
View attachment 2820909
Dubai ni 100% jangwa na kwao mvua kama hzo zinanyesha once in 25yrs , mombasa sio jangwa tena iko near ocean tulitegemea makubwa snaa kwann maji yamezamisha mji wote 🀣🀣🀣🀣

Hebu nishawishi kidogo nikueleweπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…