Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

that thing they are building ati ni mall...hehehe.....
 
Nilikua sijaiona hii 🤣🤣🤣 sasa we mjomba huoni upekee wa barabara zetu in DAR.? Unadhani sisi tunaringishia four lanes basic roads.? Au flyover.? 🤣🤣🤣🤣. Do you have them dedicated BRT lanes on your roads.? 🤣🤣🤣🤣
 
Mzee umechanganyikiwa hadi uelewi unachopost. 🤣🤣🤣🤣
 
Usijaribu kamwe.., vibarabara vichache ndio unitag eti?.., Dar hii moja ama kuna nyingine? alafu Tanzania yoote ambayo iko viganjani mwangu? pumzika tu😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kenya is something esle! Yaani wamemuwekea ndondo kibao kwenye mfuniko kama wananywesha maji vifaranga vya kuku😂
Middle income hiyo! Hilo ndondo anapaswa kula kwa kudonoa maana "linatakikana" ku-last the whole week!

Hii maneno huyu jamaa anafahamu !!
CC: Mwai Sadima Dickson mwaiofhawaii mpumbavu wa Ukoo wa Sadima
 
Usijaribu kamwe.., vibarabara vichache ndio unitag eti?.., Dar hii moja ama kuna nyingine? alafu Tanzania yoote ambayo iko viganjani mwangu? pumzika tu😂😂😂😂😂😂😂😂
There are six major roads in DAR, barabara 2 kati ya hizo ziko na BRT lanes already, barabara tatu 3 Kati ya hizo zipo under construction we are rebuilding them and adding them BRT lanes. Na zote hizo ni 6 lanes roads, 🤣🤣🤣🤣 ni barabara moja tu ndio itabaki na basic four lanes .. which is this 👇.. huko kwenye four lanes roads tushatoka Mkuu. 🤣🤣🤣🤣
 
Bongolalas are always intimidated by Kenya… whenever Kenya is involved, they sweat bullets… one day we will rule them.. mark my words….
sasa una-add nini to our table as a value? mention one tourist attraction that Tourist will find in Kenya and not find in Tanzania? While we r trying to make tourists who visit Tanzania stay longer and spend more through aggresive marketing, u idiots from kajamba nani want free ride! Hell NO!!! Fanya STV na Somalia si mnapakana nao pia?

We r not intimidated by Kundustan asn we beat u in earnings by far! The FACT is we r having a sense of responsibility to protect our growth trajectory!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…