ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,435
- 89,845
Kwahiyo hizo chopper hazikaguliwa airworthiness yake?-Ukosefu wa usalama.
-Barabara zao nyingi ni mbovu hazipitiki na ndio maana wanatumia chopa.
Mitumba hata ukague namna gani, zikiamua zimeamua.Kwahiyo hizo chopper hazikaguliwa airworthiness yake?
halafu ile ya jeshi Ruto huitumiaga!Mitumba hata ukague namna gani, zikiamua zimeamua.
Alikua zanzibar jana huyu na rais mwinyi
Mafunzo ya urubani kwa kutumia fuselage wahi sasa form zinapatikana kibera, mathare, pipeline na mukuru kwa njenga chuo kipo mkabala na ultra modern state of the art green field terminal, Nairobi nyote mnakaribishwa.
Why are you allergic to truth? I have asked you to show me even one school in that lazy country that have an aircraft wing ukashindwa. Kazi ni tu kufungua that your stinking mouth making noise here.
Yaani inaonekana wazi wazi hayo maandishi yamebandikwa hapo. Unapenda kujidanganya sio?😁😁No school in Tanzania can dream of this.
View attachment 2820141