Kasome FIB structure, kuhusu Pori La Loliondo kasome situation. Nyie wajinga mnaodharau vitu ndio ilifanya vitu vingi viwe na mizizi.lol.....hizo ni nini unataja hapa M23 is still there and i remember you lost 14 soldiers in a single day ...so which victory is that.You just ran out of contract.....In addition wasnt it a joint SADC thing....so thats gibberish....so pori la loliondo you fought monkeys and won..wow...what an army....in short you have never participated in high level missions like Somalia
Hao wajinga adjectives nyingi, eti hakuna high level missions tuliwahi fanya. Wakati EA inaelewela JWTZ iko na missions successful nyingi toka uhuru.Bila kusahau operation kubwa Africa liberation of Southern Africa JWTZ played a big role in trainig those armies, provision of equipment and intelligence mpaka Kaburu akanyoosha mkono.
Duh! Kwamba hamna intel ya kuweza kuwadaka hao wanaowafanyia IED? So mnasubiri adui ndio awe wazi eeh? Basi why hamuendi Turkana kunyang'anya silaha?.They have no concept of military warfare … based on their argument, Afghanistan is more superior to the United States militarily…. Bongolalas tu!… we insist to them in a real conventional warfare, KDF has no equal in our realm… and the world knows that…they take a few insurgent cowardly IED attacks as a sign of victory by our enemies… they are cowards otherwise they would face KDF head on…they run and hide like little kids… but on the other hand their Bongo Army was chased out of Congo by boys with machetes…🤣🤣🤣🤣
Narudi kukuuliza hapa ni mwanza sehemu gani nasubiria majibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hata zanzibar iko modern sasa hvi 😅😅😅Wenyewe wanasema mombasa ikipata three blue towers tu tayari itakua imeipita DAR. Hiyo mombasa sasa 👇🤣🤣🤣View attachment 2818303View attachment 2818304View attachment 2818305View attachment 2818306🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii ni stone town Znz ndio it's competitor achilia mbali Arusha.
Northern Kundustan hiyo! Angalia udongo!Narudi kukuuliza hapa ni mwanza sehemu gani nasubiria majibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na hio barabara inaitwaje nasubiria majibu
Leta mtungi wa chang'aa tufanye compare n contrast!LOL...SASA NINI CHA AJABU HAPA..SAME MTUNGI TU ELECTRIC YA 120KM PER HOUR...HAHAHA
Ndio maana nimemuuliza hapa ajibu ni barabara gani na hayo maeneo yanaitwaje nasubiri jibu 😅😅😅😅😅😅😅Northern Kundustan hiyo! Angalia udongo!
What has floods got to do with development.. it’s crazy how you guys reason. New york flooded recently, Dubai is flooded as well. Does that mean mwanza is more developed than Dubai?Mji wote uko chini ya maji eti wanashindanisha na modern city like mwanza 😅😅😅😅
View attachment 2818260
View attachment 2818261
View attachment 2818267
View attachment 2818268View attachment 2818269
Cha ajabu Mko flooded ila njaa haiondoki! Muda muafaka wa kuandaa majaruba ya Mpunga!What has floods got to do with development.. it’s crazy how you guys reason. New york flooded recently, Dubai is flooded as well. Does that mean mwanza is more developed than Dubai?View attachment 2818503View attachment 2818504View attachment 2818505View attachment 2818506
Ndege na ferry wapi na wapi Geuza?
Tatizo lenu you think you are the best while your the dumbest?Haingekuwa cha ajabu wala haungesumbuka kuquote. Nitajie mahali inakaribia Hurlingham hapo Dar ukiondoa Posta, Kariakoo na Upanga tuone
Mwambie pia visiwa vya comoroJWTZ limemgoa Nduli Uganda which had a formidable army ndio tushindwe mission against vikundi vya war lords 🤣🤣🤣🤣