Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ATC 767 haijaanza kupeleka cut flowers uholanzi bado au?
 
Sasa wewe unasherekea mafuriko Mombasa? Nikuletee picha na video za dreamhouses zikinyimwa amani na mafuriko huko Dar?
Hayo sio mafuriko sasa ni majanga kaah robo tatu ya mji uko chini ya maji alaf ww ndio unapost barabara unatuambia kuna closed drainage??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Dar sehem inayotokea mafuriko ni jamgwani na sababu ni kubwa ndio mto unaopeleka maji baharini na soon panajengwa daraja la juu kabisa utapasahau na washasaini tayar
 
Sasa nyie nyang'au kuna haja gani ya kudai eti Mombasa ni moja ya majiji bora ulimwenguni?😁

View: https://m.youtube.com/watch?v=83iuzbr5n54
Robo tatu ya mji uko chini ya maji alaf wanashindanisha na mwanaa kwenye modern city πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… niliwaambia mwanza ni mji wa kisasa sana huwez kuta mafuriko ya kipuuzi kama haya kuna drainage za kisasa, barabara za kisasa kila kona, bus terminal za kisasa, soko la kisasa kabisa etc
 
Last girder of Mteza bridge was casted. This is the last bridge among the three long bridges on this project. After the project is complete, Mombasa will have a better road network than DAR es Salaam
 
mumesema hii ndio mwanza second largest city na mnafurahia haya maisha na ccmu isi the besti gofament in the world lol.....weh...smh...nkt!tanzanians i think something must be really wrong with your heads honestly
View attachment 2817048
Hapa ni mwanza sehem gani???πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Tanzanians wanajenga runway wanakimbia online kucompete na Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…