Problem yao kila kitu wanafanya in Jua Kali fashionKenya imefilisika kila idara ππ
View: https://twitter.com/Benji_Fernandes/status/1724865801969086624?t=OGIOEJJ6UPuT7V5IrsQn_g&s=19
Naipenda sana nchi yangu huwa inafanya vitu vya msingi sana kwa kweli we have strong system with visionary leader kwenye kila sector ya uchumi. Jirani sasa priorities zake ziko misplaced vibaya sana.Tunaendelea kupunguza uagizaji wa Mbegu Nje ya Nchi na kufikia azma ya kuwa na Banki ya Mbegu.
Bil.4.5 Zamwagwa ,mama Yuko kazini
View: https://www.instagram.com/p/CzpCY4Qtw2V/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
,πππππMmebaki kuvaa miwani ya wachomelea vyuma na kutwanga foto. Wakitokea al shabab mnasambaratika, ha ha haππ
Nyang'au tangu walipopata uhuru walichukua njia potofuππNaipenda sana nchi yangu huwa inafanya vitu vya msingi sana kwa kweli we have strong system with visionary leader kwenye kila sector ya uchumi. Jirani sasa priorities zake ziko misplaced vibaya sana.
Na-support tufute zote hata HAPA KAZI TU! maana ni mali za umma!NEW MV Victoria HAPA KAZI TU, hii ni style ya Magufuli naona watendaji nao wameamua kuchomekea slogan ya Samia, anyways, huu ni mtindo wa kishamba tu na kujipendekeza. Hatuwezi kuita majina ya vitu vya umma kwa slogan za wagombea uRais.
Pembeni kulia naona kuna ujenzi, any idea nini kinajengwa?Hapo vipi.? πView attachment 2815084classic buildings only. Sio vijengo vifupi vilivyooza all around the so called City. π€£π€£π€£
Ndani ya Nairobi kuna maelfu ya nyumba za udongo, unabisha?Nyumba za nyasi in such a rich agricultural land like this! You'll never find such in Kenya. Typical of LDCs
Sure.NEW MV Victoria HAPA KAZI TU, hii ni style ya Magufuli naona watendaji nao wameamua kuchomekea slogan ya Samia, anyways, huu ni mtindo wa kishamba tu na kujipendekeza. Hatuwezi kuita majina ya vitu vya umma kwa slogan za wagombea uRais.
Kenya airways inaongoza kwa delays, abiria hususan wakenya wanaotoka Tz kurudi kwao siku hizi wanapanda TC.Kenya imefilisika kila idara ππ
View: https://twitter.com/Benji_Fernandes/status/1724865801969086624?t=OGIOEJJ6UPuT7V5IrsQn_g&s=19
Ukunya unabaki na Nairobi Express tu!
Chakula kinakaa kimelala!Kenya imefilisika kila idara ππ
View: https://twitter.com/Benji_Fernandes/status/1724865801969086624?t=OGIOEJJ6UPuT7V5IrsQn_g&s=19
Tunajenga mall kubwa kuliko zote EA utake usitake, zoea reality then move on.Geuza Ulale, hakuna cha wivu hapa wala nini. We were told in the beginning that it's a logistics center and we were reminded how Kenya will lose logistics business to Tanzania. All of a sudden tunaambiwa sasa eti mall na kwamba it will be the biggest in the region. Please bongolalas, stick to one storyline for consistency.
Talking of malls, how big will this "mall" be in square meters?
Hata sijajua panajengwa nini mkuuPembeni kulia naona kuna ujenzi, any idea nini kinajengwa?
π€£π€£π€£π€£ We kima mbona unatupostia vijiji ambavyo havina hata barabara za lami. π€£π€£π€£Na kagorofa kamoja.Eldoret City.....mnaona hiyo 26 storey building......hiyo mtungi yenu ya arusha bado kwa sana
View attachment 2815162View attachment 2815163
π€£π€£π€£π€£ Hicho kijamaa Teargas kalikua kanapost huu uchafu eti kikiutaja in the same sentence with JNIA π€£π€£π€£π π π π aibu kweli alaf jamaa ana record huku akitoa maelezo,
Terminal 1c JKIA
View: https://twitter.com/UgandaCAA/status/1724783768198881645?t=p_HF5gn8JoTZ25ndLcLX7A&s=19
View: https://twitter.com/evenmaina/status/1725026591225299319?t=T6QORiz5MkURiyhArc298w&s=19
BRT phase 4. Dar inakimbiza mwizi kwa mbio nyingi mno sio kimya kimya tena, Duh so poa... mwaiofhawaii sisi ni balaa Buda.
We in Tz are settling up a strong base that will support our economy for many years to come.Nyang'au tangu walipopata uhuru walichukua njia potofuππ
Ile siku Tanzania inaleta kichwa....
View attachment 2813962