Lazima uzimie mwaka huuhaya vilete hivyo vidonge...ila nashuku kama vidonge hivyo vina mantiki jinsi mlivyo LDC...yaani hamna nchi LDC inaweza tuambia wakenya...we are superior in this region..finish!
😀😀😀
Very simple formula wala usiumize kichwa sana
Umenena asante sana😀😀😀😀Expect wakenya kuteseka next five years...
UHURUTO ni msiba kwa kenya.
Swadakta 😀😀😀😀Dar es salaam inabadilika kila siku. Africa mashariki jiji linalozidi kujengwa kwa haraka na kwa modern buildings ni dsm. Kipindi fulani Nairobi ilikuwa tishio lakini siku hizi tunaifunika mchana kweupe. Na mshukuru waingereza waliwasadieni . Dsm stand up!!!
asante kwa porojo...at the end of the day, we are this region's largest economy (70B) and most developed country socially, politically and economically...leta jipyaVery simple formula wala usiumize kichwa sana
In your 70B GDP you own 30B zingine zote sio zenu. Mko na deni 55.2% of your stupid GDP. Kwikwikwikwi
Projects tulifanya 1990s ndio bado unaringia...?Dah!! Hapo patamu sana. Ninauhakika watakimbia mwaka huu. Nilisema mpaka 2020 Nairobi itakuwa inashindana na kasehemu kadogo tu ka Dar.
yani mm nakuhakikishia mungekua muna GDP ya 70b msingekua munaumaskini uliopitiliza ambao sijawah kuuona ndani ya east africa, lakin kwann inaonekana hvo kwa sababu mumepika figure ila kiuhalisia GDP yenu ni 55b😀😀😀😀😀😀😀asante kwa porojo...at the end of the day, we are this region's largest economy (70B) and most developed country socially, politically and economically...leta jipya
GDP is the output ...debt ni deni over yearsVery simple formula wala usiumize kichwa sana
Kenya recorded a government debt equivalent to 55.20 percent of the country's Gross Domestic Product in 2016. Government Debt to GDP in Kenya averaged 53.74 percent from 1998 until 2016, reaching an all time high of 78.30 percent in 2000 and a record low of 38.20 percent in 2012.
In your 70B GDP you own 30B zingine zote sio zenu. Mko na deni 55.2% of your stupid GDP. Kwikwikwikwi
Wewe sio mkenya nyamaza!Umenena asante sana😀😀😀😀
Wewe hauelwi ...output yote ya nchi ni GDP...banking,agricultural, etc bora ni formal inaingia GDP...so mkitaka kupewa loan na world bank ama banks zingine wanaona GDP iliwajue kama mta sustain loan...Unajua GDP inapatikana vipi?
Deni ni 55% of your GDP na GDP inatolewa kwa mwaka. Mtajibeba.
Ambaye haelewi ni mimi au wewe? Deni la taifa lenu ni 55.2% of GDPWewe hauelwi ...output yote ya nchi ni GDP...banking,agricultural, etc bora ni formal inaingia GDP...so mkitaka kupewa loan na world bank ama banks zingine wanaona GDP iliwajue kama mta sustain loan...
Deni ya USA ni 110% ya GDP yao sasa hawatabaki na kitu ama unamaanishaAmbaye haelewi ni mimi au wewe? Deni la taifa lenu ni 55.2% of GDP
Maana yake $70B your claiming you have 55.2% inatakiwa kwenye deni.
Halafu hapo hapo Account balance ni -5.2% of your GDP
Kwa lugha ya kawaida kabisa ukienda kwenye central bank yenu ni utakuta (-5.2/100) * 70b = -3.64B
Inamaana actual amount mlizonazo kwenye Central bank ni $-3.64B
Mbona kitu simple sana hapa. Kwikwikwikwi. Hamna pesa ninyi ni maskini tu maana hakuna asset yoyote.
Leta Current Account to GDP ya USA hapa ndio utaelewa nakueleza nini.Deni ya USA ni 110% ya GDP yao sasa hawatabaki na kitu ama unamaanisha
Uko na net acha kutuonyesha primitivity hapaLeta Current Account to GDP ya USA hapa ndio utaelewa nakueleza nini.
Kumbuka wa mwaka huu central Bank yenu Income statement inasema mpo na -3.64B
Sasa tukija kwenye Per capita (PPP) Nyie mpo na $3,400 wakati TZ $3,100
Sasa ukichukua Population ya kenya 48.46million na ya Tanzania 55.57 million sasa zidisha PPP ya taifa zima.
Kenya 48,460,000 x $3400 = $164,764,000,000
Tanzania 55,570,000 x $3100 = $172,267,000,000
Sasa hapo nchi yenu purchasing power kama nchi haiwezi kupambana na Tanzania.
Kumbuka bando nchi yenu account balance ni $-3.64b
PPP per capita yetu ni kubwa kushinda yenu acha hesabu rahisi kama 123Leta Current Account to GDP ya USA hapa ndio utaelewa nakueleza nini.
Kumbuka wa mwaka huu central Bank yenu Income statement inasema mpo na -3.64B
Sasa tukija kwenye Per capita (PPP) Nyie mpo na $3,400 wakati TZ $3,100
Sasa ukichukua Population ya kenya 48.46million na ya Tanzania 55.57 million sasa zidisha PPP ya taifa zima.
Kenya 48,460,000 x $3400 = $164,764,000,000
Tanzania 55,570,000 x $3100 = $172,267,000,000
Sasa hapo nchi yenu purchasing power kama nchi haiwezi kupambana na Tanzania.
Kumbuka bando nchi yenu account balance ni $-3.64b