Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya sifa zenu zitawaua siye tunajenga nyie mmekalia kusema mlima kilimanjaro upo kwenu. Mara msanii Dimond ni wa kwenu.
 
Leo niko nao hawa, sitoki Kigamboni kwa kuanzia

Kabla kufika darajani unapitia hapa


Uzinduzi





Baada ya kuvuka ndiyo itakuja hii
Dah!! Hapo patamu sana. Ninauhakika watakimbia mwaka huu. Nilisema mpaka 2020 Nairobi itakuwa inashindana na kasehemu kadogo tu ka Dar.
 
haya kanishtaki kwa Supreme Court pumbav mkubwa..tabia za ******* hizi
Duh! Matusi ya nini dogo. Kwanini usiwe mtaarabu. Tulia upewe vidonge ninauhakika sasa hivi unamimba ya miezi mitatu ndio maana unapata kichefuchefu kuona maendeleo safi ya TZ.
 
Duh! Matusi ya nini dogo. Kwanini usiwe mtaarabu. Tulia upewe vidonge ninauhakika sasa hivi unamimba ya miezi mitatu ndio maana unapata kichefuchefu kuona maendeleo safi ya TZ.
haya vilete hivyo vidonge...ila nashuku kama vidonge hivyo vina mantiki jinsi mlivyo LDC...yaani hakuna kitu nchi LDC inaweza tuambia wakenya...we are superior in this region..finish!
 
nimekwambia huyo mshamba wa Broken English hatumtaki...😀😀😀 tumeelewana chokoraa wa Manzese?
Kwikwikwikwikwi
Tanzanian songs are most watched YouTube music videos in Kenya

Tanzanian songs dominated Kenya’s most watched YouTube music videos list this year, revealing a bias for bongo flava.

Salome by Tanzania’s Diamond Platnumz and Rayvanny emerged the most watched music video in Kenya while Rihanna and Drake’s Work song and Bado by Diamond Platnumz and Harmonize took the second and third slots respectively.

Local boy band Sauti Sol and Tanzania singer Alikiba’s Unconditionally Bae music video was the fourth most watched in the year.

http://www.nation.co.ke/business/Ta...ideos-in-Kenya/996-3480144-12cpp1d/index.html
 
tuyaache kwanza haya ya Mshamba wa Tandale..hakuna cha kujadili hapa kwa mtu ambaye mkenya wa darasa la nursery anazungumza kiingereza bora kumliko....nasubiri vidonge toka Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…