Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maumivu peleka kibera hayatuhusu sisi 😁
 
Wanabaki na GDP ya kupika!
 
Hahahaaaa, hapo imepostiwa ili kuonesha jinsi gani nchi yenu imegubikwa na rushwa, hiyo gari huenda watu wamehonga gari imepinduliwa makusudi ili watu wapate kuvujisha mitihani. Kuhusu mashamba ya mahindi, hivi kweli robo heka ikalishe wakenya zaidi ya milioni 60 kweli? 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…