Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nilijua kuna shida kubwa sana ya lami tanzania wakati walipoanza kusema kujenga interchanges ni wastage of resources.
 
You'll be greated by murram roads 🀣
Hahaha, it didn't take me long, did it!?
And now ladies and gentlemen 🀣🀣🀣
The Famous Rich Kid Masaki is here!!!
🀣🀣🀣🀣🀣
Kujamaa husema Nairobi kuna tope kumbe hakuna akili😑😑😑😑

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Leta sehemu kama hiyo Mwanza tucheke kidogo
Mwanza hakuna sehemu chafu kama hio ndio maana mwanza huwezi pata ushuzi kama huo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Vumbistan 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Yani hii ndio equivalent ya Karen,Muthaiga, Runda and the likes huku Nairobi. And Tanzanians are busy comparing Dar to Nairobi! Joke of the century!
 
Mimi nilijua kuna shida kubwa sana ya lami tanzania wakati walipoanza kusema kujenga interchanges ni wastage of resources.
Wanazitamani sana! Imagine eti mtanzania akitaka kuona interchange lazima aende hadi Dar. Hata wale wanaoishi kwenye miji mikubwa kama Mwanza na Arusha hawajui interchange ni nini!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Compare with Kitisuru which has 100% tarmac connection and it aint even in the top 3 of the richest neighborhoods in Kenya
 

Attachments

  • Screenshot_20231103-212417_Earth.jpg
    345.2 KB · Views: 28
Kupita zangu tiktok nikaona wakenya wanaomboleza kuna msanii wao mkubwa kafariki kwa jina anaitwa Ally b yani toka nimezaliwa mpaka leo hii hilo jina la huyo msanii ndio nimemjua leo kua alikua msanii

πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Compare with Kitisuru which has 100% tarmac connection and it aint even in the top 3 of the richest neighborhoods in Kenya View attachment 2802871View attachment 2802873
Nilikuambia hawa we are just here to entertain them and most importantly, to encourage them. Even Lavington is not in the top five richest neighborhoods in Nairobi but look at the roads. Lami everywhere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…