Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I saved this post for your birthday Ichoboy …🤣🤣🤣
Yes save it 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ww unasema hii wenzako wali save post za pinnacle na montave towers na walizifuta mwisho wake, mm hua siongei tu naongea kwasababu nawajua vzr mpaka rangi za chupi zenu au unabisha mwai dickson sodima
 
Kweli Kunyaland ni topestan, hivi viatu vya Camila ni tope tupu 😂😂😂

 
Why are you ashamed of posting the real photo.?… hutaki tucheke????..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mitumba kwetu mwiko!









FYI
Baada ya kuona serikali ya Kikwete imenunua hizi, kama kawaida yenu mkakurupuka kununua mitumba kutoka jeshi la Spain! Upo busy saahii kututambia! Mlinunua pia mitumba F5 kutoka Jordan nyingine zimedondoka nyingine haziwezi kuruka.
 
So a whole air Tanzania commercial Airbus is always on disposal for the president to use in state visits
Kama amekodisha ww unaumia nn ?? Au ww ndio unalipa hio pesa mbona hukuuliza alipoenda india kaenda na air tanzania full of passengers

Diamond anazurura na private jet za kukodi mbona hushangai 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…