Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

soooo true....nobody knows anything bout tz...and this one I have witnessed personally...
 
Nairobi ipo na majengo hayo? Hebu tupatie picha zake.
mbona unajikanganya? nadhani ni ww uliyesma kuwa 2025 mtakua kama Guangzhou nasi tutakua kama Sinza....hivi nikuulize tuko mwaka gani sasa hivi? kisha nikuulize jengo kama pinnacle linajengwa kwa miaka mingapi?
 
punguza hasira msee...lol
mkishashiba githeri mnakuwa na ujinga sana...[emoji23] [emoji23]
 
by the way, sinza iko wapi...ndio mara yangu ya kwanza kusikia neno hilo...mara yako kwanza kuitaja nilidhani unamaanisha sinzia..
Google ni rafiki mzuri sana. Sasa tunaanza kushindanisha Sinza vs Nairobi by (2025)
 
haya nimeiona kwa maps...twede basi mijengo za Sinza nami nilete za Upperhill in 2025
Anza wewe mwenyewe. Na kumbuka jana ulikuwa unalia lia kuwa majengo siyo maendeleo. Leta picha za maendeleo
Sinza vs Nairobi by 2025.
 
Anza wewe mwenyewe. Na kumbuka jana ulikuwa unalia lia kuwa majengo siyo maendeleo. Leta picha za maendeleo
Sinza vs Nairobi by 2025.
kuna tofauti kati ya flyover na majengo kama Pinnacle...majengo kama Pinnacl na Montave huwezi ukaziona nchi zote...utaziona tu Kenya, SA ama Egypt...ila tukija kwa flyover nakuhakishia hata Somaliland wako nazo... naona umeshainua mikono tayari
 
kuna tofauti kati ya flyover na majengo kama Pinnacle... naona umeshainua mikono tayari
Nani kainua mikono hapa. Mbona unajishebedua sana. Wewe kiwashe tu nikuaibishe.
 
Nani kainua mikono hapa. Mbona unajishebedua sana. Wewe kiwashe tu nikuaibishe.
haya naliwasha sasa...one by one
1. Pinnacle Tower (300m and 200m) tallest in Africa...all glass, no concrete...two buildings in the same place...mpango ilikua jengo limalizwe 2019 December ila sababu ya uchaguzi, ikichelewa sana ni 2021 meaning itakua tayari 2025...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…