Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kasarani yenyewe sasa 🤣🤣🤣🤣
 
"Nini cha ajabu hapa ?… it’s just an opening ceremony rehearsal…. Kenya put up such shows every time we host a world event…. "

Kwenye mchezo gani sasa! Mpira? Hapana. 😂😂😂
Kasarani hosted Word under-20 Athletics championship that brought the whole world together. What world event has mkapa stadium ever held?
 
JPM's deeds!
Alifanya vyema kututoa mwenye mikataba bogus ya kinyonyaji na isiyo na tija kwa taifa, mikataba aliyosign Kikwete.

Akili za ajabu zinadai: ni bora tuendelee kunyonywa na mikataba mibovu kwa kuwaacha wavune $1 or more billions$ kuliko kuivunja na kulipa $30Million.

Wanao fanikisha malipo haya ya kifisadi ni hao hao wakina Kikwete na genge lake wenye maslahi na hiyo mikataba.

Hakuna effort yeyote toka serikalini inayosimama kuhakikisha tunashinda hizi kesi za madai. Li maza lisilo na uwezo wa kiakili na elimu yake ya kuunga-unga lipo lipo tu na kupigwa pigwa kama mpira na kusoma chochote anacho andikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…