Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wew ndo ukae chin ufundishwe. Kenge kweli.
Mwenzako kasema matches will be produced and aired. Matches can be produced too, kureplay sio kuproduce?

Kuhusu kubuy broadcasting rights, CAF watagawa kwa regions, CANAL hawez kupewa kazi ya kuonyesha mechi kwa nchi za East Africa, sababu wengi hawaijui hio CANAL, same way to Bein sijui nn..
kwa region ya East Africa, mshindan wa Azam ni Startimes na SuperSports (TV channels zenu hazina hata uwezo wa kubuy hizo rights for the EA region).. mim naona SS atapewa kwa southern part, Azam kwa Eastern region na StarTimes labda kwa middle regions, huko juu northern regions watakuwepo hao akina CANAL sijui BEIN Sports etc
 
How could you understand my point na wewe ni bongolala? Not surprised at all!
colin kishoiya jamaa yangu huyu yupo chuga hataki kurudi kwenu na ndugu zake washakuwa watz tayary ni walimu wazuri kweli
 
So mtatuonyesha replays?🤣🤣🤣
I thought you had a point kumbe kelele tu kama kawaida
 
Yani hawa vilaza wa South hawafai hata kuongea kuhusu sports coz wako zero kabisa. I wonder where they get this energy to engage us in matters sports. Watuambie ni timu zao ngapi zimeshafuzu kwenda Olympics. Us we already have rugby and women's volleyball team flying African flags high
 
si mshaona mnachokiweza ni hicho huku kwingine tuachieni sisi na muache lomolomo soon hamtakuwa nacho pia
 
Wewe unaamini hivyo? Timu yenu mara ya mwisho imecheza lini? Yani stars inacheza na Algeria ugenini na inapata matokeo nyie mnafungwa na Djibuti ndiyo muwe juu ya Stars?
So wewe hapo Tandale kwa mfuga mbwa you know better than FIFA?? Nyinyi ni wa kupuuzwa tu saa zingine
 
si mshaona mnachokiweza ni hicho huku kwingine tuachieni sisi na muache lomolomo soon hamtakuwa nacho pia
Tuwaachie nini? You mean football?? Hii tu Moja yenye tuliwachapa Kichapo Cha mbwa last time we met ama inamaanisha nini? Hivi, vilaza wanazaliwa kila siku Tanzania ama ni nini mbaya nanyi?
 
Hili gazeti lako la kurasa mia mbili nenda ukajisomee kwao Tandale.
 
Tuwaachie nini? You mean football?? Hii tu Moja yenye tuliwachapa Kichapo Cha mbwa last time we met ama inamaanisha nini? Hivi, vilaza wanazaliwa kila siku Tanzania ama ni nini mbaya nanyi?
we ni boya kweli mara ya mwisho mlisema tuwaoneshe tuliwafunga lini mliona mlivyobadili mada? sasa tusubiri tukutane tena muone kama ni akina onyango mtatuwekea tuwanyooshe
 
msisahau hivyo viwanja kwa render tunavisubiri na vije kama vilivyo yasije ya bullet train na mtambo wa chang"aa huku kwenye mpira.
Wewe hauna point kabisa. Kupayuka payuka tu. Badala ya kusaidia mwenzako kuleta list "halisi" ya FIFA ranking, unakuja na story za vijiweni
 
Wewe hauna point kabisa. Kupayuka payuka tu. Badala ya kusaidia mwenzako kuleta list "halisi" ya FIFA ranking, unakuja na story za vijiweni
unaona mlivyo majuha wa kukwema unachoulizwa? viwanja vyenu vilivyoko approved ni vipi weka hapa.
 
we ni boya kweli mara ya mwisho mlisema tuwaoneshe tuliwafunga lini mliona mlivyobadili mada? sasa tusubiri tukutane tena muone kama ni akina onyango mtatuwekea tuwanyooshe
Bongolala, you talk so much. Save this energy kesho uhangaike nayo uswazini ukisukuma gurudumu ya maisha.

However much you talk,these facts will never change, at least for now:

1. We are ahead of you in FIFA ranking ( I know it hurts but sorry)🤣🤣

2. Last time Kenya and Tanzania met in a football match, tuliwanyoa bila maji (I know this one hurts even more but again, sorry bongolala)🤣🤣🤣

So kijana wa Tandale, what bragging rights do you have over Kenya. Or is it just the normal blind patriotism we are treated to here daily??? Suit yourself bongolala 😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…