mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,525
- 6,939
Wewe unaamini hivyo? Timu yenu mara ya mwisho imecheza lini? Yani stars inacheza na Algeria ugenini na inapata matokeo nyie mnafungwa na Djibuti ndiyo muwe juu ya Stars?This is the latest FIFA ranking 2023.
Kenya is at position 109. Tanganyika is at position 122. That's 13 places below Kenya lakini kelele mnapiga mithili ya chiriku!
FIFA/Coca-Cola Men's World Ranking
See latest status of the FIFA-Coca Cola Men's World Rankingwww.fifa.com
So now you doubt official statistics za FIFA?… what next ?.. you will argue water is not wet…🤣🤣🤣 seriously Best 007, why do you love arguing ujinga… you are very strange….Wewe unaamini hivyo? Timu yenu mara ya mwisho imecheza lini? Yani stars inacheza na Algeria ugenini na inapata matokeo nyie mnafungwa na Djibuti ndiyo muwe juu ya Stars?
Hilo group moja alilowapa kawapendelea sana, inshort ni kwamba hamtoandaa AFCON, this is because you don't have proper infrastructures to support tournament ifanyike kiurahisi, mashabiki wakitaka ku move from one place to another itakuwa ngumu mana usafiri wenu mkuu ni matatu ambao sio rafiki kwa watu civilized, sisi tuna BRT ambapo by 2027 itakuwa phase zote 6 zimekamilika, plus ukarabati wa viwanja vya ndege kila mkoa.Napna umekuja kusaidia kilaza mwenzako in vain. I said that if he or any other kilaza for that matter can't answer the three simple questions then you better shut up.
Badala ya kujibu swali wewe umekuja na povu hadi ushaanza kupangia CAF maisha! Ukilaza katika ubora wake!!
Final will be played at this random render ? We both know Kenya is broke right now , who will fund this render ? China ?All dreams are valid kilaza..🤣…. There are 24 teams in 2027 AFCON divided into 6 groups of 4 teams each… Kenya is hosting 3 groups , Bongo 2 and Uganda 1….opening and Final match ni hapa tu… save this and thank me later Bongolalas…
View attachment 2778321
Hii ya opening match si ni confirmed tayar..?Assuming 2027 kunyan general elections , brings about no chaos coming out of primitive hillbilly tribal emotions driving kunyans crazy and fighting and killing each other from kisumu to Kibera, a typical uncivilized attributes, ( Kunyans are too hooligans)
Kama mtakuwa wastaarabu kabisa basi mambo yatakuwa hivi ,
1 . One group matches to take place in Nairobi
2. One group Matches to happen in Kampala
3. Two groups in Dar
4.One group in Zanzibar
5. One group in Arusha
6.One Group in Dodoma
Opening Match - Dar
Finals - Dar
Save this and thank me later fam.
You expect it to be played at that old monstrosity that is Benjamin Mukapa stadium?Final will be played at this random render ? We both know Kenya is broke right now , who will fund this render ? China ?