Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Twiga wanapendeza sana😍
Makenya yanaona wivu hata ku like hayataki wkt hayana ndege kama hiyo na hayatakuja kuwa nayo kamwe. Hayajawahi kununua ndege ******* haya, kazi ku lease tu, yani yanaishi kiujanja ujanja tu, sasa siku hizi janja janja hakuna ndiyo maana yanaishi kwa tabu sana 🤣🤣🤣🤣
 
Karibu tena Bwana Machozi, ila umenichekesha kishenzi. Pole na masaibu ya kutwangwa virungu ukigombea ugali, hope ushapata nafuu ya kuvunjwa miguu, kama bado chukua referral hapo njoo Bongo pale MOI (sio Moi wenu😅) kuna mabingwa wa kuunganisha mifupa wiki kadhaa tu unapona😅😅
 
Kwanza kabla hujapoa kula chuma hicho kinaitwa ngumu kumeza

Extended canopy 🤣🤣👇👇👇
 
Nyie ni njaa Kali tuu hamna jeuri ya Kuzuia imports maana juzi kati hapo nilisoma gazeti lenu linasema Watanzania na Waganda wamekaa huko Rift Valley kununua cheap maize na kuzileta Tanzania ,Uganda,Sudan nk.
Ndio, mitanzania inanunua mahindi kukota Kenya na kuuza kwa bei ghali kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…