Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa unaleta mabasi animated
Hamna Mabasi msiwe watu wakukaa vijiweni kila siku mkijitungia eti mna mabasi kushinda Kenya, hata Uganda hamuwezi. Nyinyi EA wa mwisho kabisa kwa swala la mabasi
 
Good move by ruto to ban imports
Nyie ni njaa Kali tuu hamna jeuri ya Kuzuia imports maana juzi kati hapo nilisoma gazeti lenu linasema Watanzania na Waganda wamekaa huko Rift Valley kununua cheap maize na kuzileta Tanzania ,Uganda,Sudan nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…