One city state 🤣🤣🤣what's the difference btn Arusha and Nairobi as u speak? None of the 2 cities has CAF approved stadium! Until u build that Talanta stadium wacha kelele! BTW have u discovered most of u talk of only Nairobi? How about other so claimed cities like Mombasa and Eldoret? Wapi viwanja vyao?
Ww unawashwa wapi nikukune ??😁😁😁Huyu Ichogal anasoma na Ku watch news za Kenya ka desperate housewife…🤣🤣🤣🤣🤣
Umemaliza kuosha vyombo?Wacha niulize bibi……. ……. aah !… bado hajamaliza kuziweka ndani ya washer …. We just finished dinner….. any further questions I may help you with?… unataka kujua naenda Kulala lini?…..😄😄…… btw tuko na stima hapa… i thought you might wanna know…..🤣🤣🤣
Na kelele zooote humu ndani Kunyaland ina one proper city yaani as far as amenities are concerned! si Kisumu wala Nakuru wala nyanya yake Mombasa! Yaani sisi ikumbukwe Mwanza haijaguswa kabsaaaaa! Ambapo urekebishaji CCM Kirumba na umaliziaji wa airport unatosha kabsaa!One city state 🤣🤣🤣
Mechi za CAF hivyooo...!! Hamna kiwanja kinaruhusiwa Ukunyani!Azam is a very basic playground buanaa. Hii hata haifikii Dandora stadium.😂😂
View attachment 2769125
Tokea 2019 nilianza ziona morogoro roadWatanzania wengi hawajui hapa nini kina instaliwa
View attachment 2768789
Nani alibisha kwamba ligi ya Tanzania ipo juu ya ligi ya SA?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nani alibisha kwamba ligi ya Tanzania ipo juu ya ligi ya SA?
Takwimu zinaongea usinililie mimi tafadhali.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pambana na ukweli ukiona unashindwa kajinyonge. Na hapo ligi ya Sudan tushaishusha rasmi, sisi tunakuwa wa nne.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pambana na ukweli ukiona unashindwa kajinyonge. Na hapo ligi ya Sudan tushaishusha rasmi, sisi tunakuwa wa nne.View attachment 2769310
Kwamba ukiacha Egypt na Tunisia nyingine ni Bongo tu iliyofanikiwa Kuingiza nchi mbili kwenye group stages….!!🤔Nani alibisha kwamba ligi ya Tanzania ipo juu ya ligi ya SA?
Ndiyo maana ake alafu kuna kunguni wa Kibera hataki kutupa heshima yetu mpaka tunaichukua kinguvu, ukishindwa kubali then move on. Sisi tume invest pesa nyingi kwenye ligi na ndiyo maana unaona wachezaji mpaka wa west Afrika wana dream ya kucheza NBC.Kwamba ukiacha Egypt na Tunisia nyingine ni Bongo tu iliyofanikiwa Kuingiza nchi mbili kwenye group stages….!!🤔
kilifi whitewashed the overrated zanjiba...now they are left with nothing....lol.Infact zanzibar is a different country from tanganyikaKilifi county took care of that …stay in denial…🤣🤣🤣🤣… am still waiting for your ushago hotels… umeweka moja ya wazungu Arusha… Mimi am showing hotels za Wakenya for Wakenya sio wazungu…
hehe,,,,ukweli pro max...no comebackUkitoa mechi ya yanga na simba, hakuna attendance Kama hizi danganyika
View: https://twitter.com/ItisWinston/status/1708461405152653484?s=19