Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niliwaambia ukubwa wa dar yani urban city wakusanye nairobi,mombasa kisumu bado haitoshi kufkia ukubwa wa dar na hilo halina ubishi wala ushindan
Wanakaa wakisema estates[emoji23][emoji23][emoji23] estates ndio mji hawa jamaa ni narrow minded sana...waje waone places like mbweni,bunju, boko,kinyerezi, madale vitu watu wamefanya huo ujinga wa estates ndio unawapumbaza

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Niliwafundisha tanzania kila mmoja ananyumba yake tena Wanajenga nyumba za ndoto zao sasa huyo akili zake bado ndogo
 
Mm nilijua dar ni masaki oysterbay mikocheni mbezi beach tu kumbe ziko sehemu zimeundwa zkaundika na hautazisikia sana...Dar is really big places like bahari beach, mbweni to mention few ziko hot saana Hawa jamaa wanaongea sana kingereza wakdhan ndio wanajua kuongea

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Nipate mkenya mmoja tuzunguke tu apa kijitonyama na sinza arudi kwao atakua na adabu sina haja ata ya kumpeleka mjini[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mawazo yao ni bado ile tanzania ya 90s na fikra hzo zimewafanya wajione wao ni level na europe sasa leo wanapumuliwa kisogoni wanaanza kuomba maji ya kunywa 😀😀😀😀
 
Pwahahaha.....tuusan pliz.Just the same way you don't know the larger Nairobi metropolis which is never captured over here...........Dar bado sana I promise you that
 
Niliwaambia ukubwa wa dar yani urban city wakusanye nairobi,mombasa kisumu bado haitoshi kufkia ukubwa wa dar na hilo halina ubishi wala ushindan

Niliwaambia ukubwa wa dar yani urban city wakusanye nairobi,mombasa kisumu bado haitoshi kufkia ukubwa wa dar na hilo halina ubishi wala ushindan


Nairobi imetosha kufund three quarter of Tanzanian budget....as usual ukweli mtakana
 
Pwahahaha.....tuusan pliz.Just the same way you don't know the larger Nairobi metropolis which is never captured over here...........Dar bado sana I promise you that
Dar hii sio ile ya 90s😀😀😀😀😀
 
I see SGA security from Kenya making it in Tz
i see diamond karanga becoming a very popular product in EA as it's being distributed into many places in kenya.

it's called tit for tat.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

haters will say this is not kenya.
 
Sasa wewe unataka kucompare masaki sijui Oystar na estates za kifahari nai ?
kwanza jengeni lami kwa estates zenyu ni aibu
 
Huyu kijana namkubali sana,acha pia yeye ajaribu biz
 
Sasa wewe unataka kucompare masaki sijui Oystar na estates za kifahari nai ?
kwanza jengeni lami kwa estates zenyu ni aibu
Dar kila mtu anajenga house of his/her dream hakuna mambo ya estate budaa ukiskia sehemu wanaita masaki au oyesterbay na upanga basi ujue ni nyumba za kifakhari hazina mfano wake kwa ukanda huu😀😀
 
Naona azam energy, azam stoney,diamond nae yupo kweli tanzania ya viwanda inatimia sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…