Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anhaa aliposema uwanja wa taifa nikajua shamba la bibi, by the way sijui ni kwanini hawataki kuukarabati shamba la bibi aisee, wakati unahitaji marekebisho kdg tu ule uwanja. Alafu Lupaso kumbe ni mpaka 2024?
Ngoja tuone kikubwa mola azidi kutupa pumzi,ila viwanja vikakamilika na vikawa vya ubora hivyo vipya,tutakuwa tumeupiga mwingi
 
and I'm in my early thirties with a good house in the village, a plot in Nairobi where I''ll soon build, a construction company and a good engineering job. Does that mean I should be okay with not receiving electricity in my house yet I'm paying taxes? Hell no. That's the difference between Kenyans and Tanzanians. Ponder.
 
When it comes to free market enterprise, Kenya is 100 years ahead of you…nyinyi you are still tied by Ujamaa elements… Uliza your farmers….. kwanza hii avocado market, we play in the big leagues sio level yenu…Facts!…
Wanasemanga eti avocado tunazouza kwenye masoko za nje ni zao?😂😂😂
 
What I like about Lamu port is that, it is bigger than any port in Tanzania and that it is being done majorly by internal funds.
From the rendering, you can see the layout. Important elements of that project have been built or are under construction.
 
This shows that you have never travelled to Tanzania by air. Kazi kujifungia tu kibera kama sokwe mwenye mimba na kusema "Tanzanians have never seen such buses"
Wapi, ziko wapi? Leta tuone. Mimi Tanzania nimekuja nikijiendesha mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…