Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lol,,,,,alete nudes zao sasa vizuri
 
Be careful about what you share, CCM is watching
 
lupaso ndo kiwanja kipi hicho?
 
Mimi nawaambia haki ya mama hii michuano tutaandaa pekeetu, si Kenya wala Uganda watatia pua zao, na kama wakijaribu tu kutuiga sisi mtaona njaa itakayotokea kwenye hivyo vinchi.
Sasa why are you using your mama’s name in vain.. wewe kwanza tunakujua … ni spy wa CCM…kesho utapewa mshahala na pesa za Mandafu…🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣 Unaweza kumdanganya nani wewe muosha vyombo wa US .? 👇"Uhuru Gardens to be memorial park of history and heroes" Uhuru Gardens to be memorial park of history and heroes.
Another day another Bongolala life….. si mlisema KDF haiwezi kujenga stadium…. I gave you an example of a recent project by them… nilisema wapi hiyo ni Talanta stadium?…. Please stick to Kiswahili …. Kizungu huelewi…🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…