Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Those kinda beaches zenye umepost siwezi weka moja moja humu hadi ziishe .. pitia hapa 👇Against kilifi, msaidie mwenzako
Uwepo wa hizo organization umeondoa njaa Kenya?Wanafaa wajiuluze sana ni kwa nini these organizations are choosing Nairobi over their glorified fishing Village
Unaweza ku share picha za huo wa Dodoma mkuu, alafu uwanja wa taifa upi huo unaofanyiwa marekebisho mpk july 2024? Shamba la bibi au?Kiwanja cha Dodoma yule mkwe wa samia ingawa simpendi, lakini pale kaitendea haki nchi. Kwa ubora ndani ni zaidi ya Emirates, mi sikupenda tu idadi na uchache wa watu 30 thousand lakini kwa ubora, haba Africa hakuna na vichache ulimwenguni.
Sijajua cha Arusha but given the ongoing marekebisho ya Uwanja wa taifa ambao utaisha July 2024 maana yake ni ukarabati wa nguvu na marekebishe mengi.
Sisi kama nchi tumepiga hatua kubwa kwenye mpira na moja ya ligi 5 bora Afrika hivyo tunayo experience juu ya aina ya viwanja tunavitaka kwaajili ya michuano mikubwa. Great advantage kuliko hawa wakimbia njaa.
Lupaso huo .. unaongozewa aquatic stadia n.kUnaweza ku share picha za huo wa Dodoma mkuu, alafu uwanja wa taifa upi huo unaofanyiwa marekebisho mpk july 2024? Shamba la bibi au?
Unajirudia, pitia post zangu ujijibu.View attachment 2765558@Coco reborn what do you have to show against this.? 👇View attachment 2765557
Nikionaga video ya Kenya kabla hata sijaifungua huwa naanza kucheka kwanza mana ni vioja siku zote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Endeleeni na hizo kabila mbili tu, ha ha ha🤣🤣🤣🤣Unataka Nyamwezi awe Rais wa Kenya ndio ufurahi?
Hakuna ulichopost cha maana until now ukiondoa vipingo ridge.Unajirudia, pitia post zangu ujijibu.
Hii imekaa poa,habari nzuri
Anhaa aliposema uwanja wa taifa nikajua shamba la bibi, by the way sijui ni kwanini hawataki kuukarabati shamba la bibi aisee, wakati unahitaji marekebisho kdg tu ule uwanja. Alafu Lupaso kumbe ni mpaka 2024?Lupaso huo .. unaongozewa aquatic stadia n.k
Ukabila tumewaachia nyie, usituletee ukabila wenu tafadhali.Unataka Nyamwezi awe Rais wa Kenya ndio ufurahi?
Hawajiulizi ni kwanini kila mtu duniani anataka ku visit Zanzibar, sasa nimekuruhusu mtie spana mpaka maji aite mma🤣🤣🤣🤣🤣🤣ZnZ View attachment 2765416View attachment 2765417View attachment 2765418View attachment 2765420
View attachment 2765421
Hii hamwezi kuwanayo kabisa nimekurusu uombe msaada Ethiopia Coco reborn 🤣🤣🤣
No future in Kenya hilo ulijue, hata wewe ungezaliwa upya usingependa uwe mkenya.Nimefungua link nikapenda comments za Watanzania wanaojielewa. 😂 😂 😂
View attachment 2765432View attachment 2765433View attachment 2765434View attachment 2765435View attachment 2765436
Kila siku mimi husema humu, tofauti kubwa ya Tazania na Kenya ni expectation ya wananchi. Wakenya wana expectation kubwa mno from the government. Watanzania expectations zao zinakaribia zero ndio maana wengi wao wametosheka na serikali ila wanaumia saana. 😂😂
cc Geza Ulole
NDINDA
Chamoto
game over
Punguza maneno mengi, battle imekushinda?Hakuna ulichopost cha maana until now ukiondoa vipingo ridge.
Mbona unarudia wakati mwenzio anaweka vitu vipya.Walijenga fumba town wakadhani dunia inazunguka Zanzibar. Vipingo ridge kilifiView attachment 2765496View attachment 2765497View attachment 2765499View attachment 2765501View attachment 2765502
Naona unatamani Sana kumsaidia 🤣Hawajiulizi ni kwanini kila mtu duniani anataka ku visit Zanzibar, sasa nimekuruhusu mtie spana mpaka maji aite mma🤣🤣🤣🤣🤣🤣
👇👇Mbona unarudia wakati mwenzio anaweka vitu vipya.
Naona unatamani Sana kumsaidia 🤣