Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa mipango mko vizuri, lkn Mkumbuke mnakopa hela ili kulipa madeni ya mchina, mnatafuta hela ili mnunue chakula kutoka Tanzania, watumishi wanadai mishahara etc.. wacha tuone 2027 itakavyokuwa πŸ˜πŸ˜†
 
Kwa mipango mko vizuri, lkn Mkumbuke mnakopa hela ili kulipa madeni ya mchina, mnatafuta hela ili mnunue chakula kutoka Tanzania, watumishi wanadai mishahara etc.. wacha tuone 2027 itakavyokuwa πŸ˜πŸ˜†
Hawatoboi mkuu, hawa ni midomo mipana tu wako nayo ila uhalisia zero. Na usisahau pia huo mwaka wa 2027 watakuwa na uchaguzi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Eti watu waache kuweka fainali Dar kwenye mvuto wa soka wapeleke Nairobi, kwanza mpaka kufika 2027 our mighty SGR itakuwa inafanya kazi na BRT phase karibu zote zitakuwa tayari, viwanja vyote vitakuwa tayari, haya apo kuna nn tena, miundombinu yote muhimu na ambayo haikuwepo kwenye nchi nyingi tu zilizowahi kuandaa AFCON itakuwa ishakamilika.

Jamaa huenda wakalilia fainali ipelekwe kwao kisa wana expressway 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Hii fainali ndiyo itatupa jibu nani ni The best hapa EA🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kuiba ni kawaida kwao hata musishangae alaf waulize wanapata faida gani kudanganya kitu si chao πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 2764408
Nyumba zao vijijini zipo hivi halafu ana force uongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Eti build ushago initiative 🀣🀣🀣🀣

 
I have bookmarked this… remember that!
 
FInals zitafanyika Talanta Stadium. Watch this space closely.
Mbali na ufukara uliotukuka wa kunya utakaopelekea kunya kukosa fedha kujenga viwanja with atleast minimum standards,
2027 mtakuwa general elections, with too much chaos, police brutality, demonstrations nk , na nadiriki kusema hakuna hata mechi moja itachezwa kwenye ardhi ya Kunyaland. Mark my words.
 

Attachments

  • FF119383-1B4B-4902-A647-750DA44365F0.jpeg
    452.9 KB · Views: 25
  • 67D59BBA-448B-4A09-A1F8-FCAB39E3C0C3.jpeg
    116.1 KB · Views: 25
haiyaaaa haiyaaa! hii maneno inaweza kuwa kitanzi cha Ruto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…