Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,182
- 107,779
Upumbavu unakusumbua! In case unataka kununua nyumba ya familia, utachagua hii ya kwenye picha au ile ya kwenye block ndani ya level floor flani?Ukilaza katika ubora wake! An apartment as I know it is a self-contained house that ocuupies ONLY ONE PART of a building, usually on a single level. In most cases, there are several such housing units within the SAME BUILDING on several other levels (or floors as we call them). Sasa niambie hii "apartment" yako uchwara iko na levels ngapi View attachment 2762746View attachment 2762746
Acha kuchanganya neno apartment or flat na house. Houses are in TZ.Ukilaza katika ubora wake! An apartment as I know it is a self-contained house that ocuupies ONLY ONE PART of a building, usually on a single level. In most cases, there are several such housing units within the SAME BUILDING on several other levels (or floors as we call them). Sasa niambie hii "apartment" yako uchwara iko na levels ngapi View attachment 2762746View attachment 2762746
Mchina wa SGR ndio ameanza kuzichukua hizo assets kinyemela bila mazuzu kujua isipokuwa wanasiasa tuu ndio wanaojua 🤣🤣🤣
mazuzu wakina mwathadan, NairobiWalker, Nicxie n The Other Delo hawana habari!Mchina wa SGR ndio ameanza kuzichukua hizo assets kinyemela bila mazuzu kujua isipokuwa wanasiasa tuu ndio wanaojua 🤣🤣🤣
hehe ..uko na nudes zao
Hii michuano ningependa tuhost peke yetu bila ushirikiana na kinchi chochote
Mlianza kusema asset zetu zitachukuliwa kuanzia 2012 huko. Since then, bandari zenu zote zimechukuliwa, projects zenu zimeanza kuchukuliwa yet sisi bado hakuna kilichochukuliwa. Wake up and smell the coffee bruh. Your authoritarian government is lying to you. Mazuzu ni nyinyi.
Ndio hivi vi article vyenu vya kutengeneza chumbani mwisho wake mnajisahau, sasa ikiwa US umeiweka ambapo hakuna watu wanaokufa njaa zen ukazisahau failed states kama kenya, Somalia et al ambapo huko kufa njaa ni Pi (π)🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii hii Kenya ya kibera?Wacha kupagawa na waarabu, hio Egypt hamna lolote kwa first world countries, level yake ni Kenya.
Duh hilo vundo la nyumba zilizokaa hovyo la wap, mpaka nyumba ya udongo imepigwa make up kumaamae, Kenya ni mavi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Takaba mandera 24hrs electricity, dar slum kelele za generator kila konaView attachment 2762690