Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea kubana kendez πŸ˜‚
Yana roho mbaya kweli kweli, ukiyaonesha vitu ambavyo hayana huwa yanakimbia, kwao hakuna kitu hata kimoja ambacho kwetu hakuna ila sisi tuna vitu kibao ambavyo yenyewe hayana na haturingi🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hii miradi ni ya kawaida sana TZ,ila kundustan ndio miradi yao kutuvimbia humu,wangekua na mradi kama waJulius nyerere hydropower station tungekoma humu
Hawa tunavyowachekea chekea humu kuwaliwaza kutokana na shida na umaskini walio nao basi wanadhani sisi ni saizi yao, au wanavyoona vi figure vya GDP za mchongo wanazoziandaa vyumbani mwao basi wanafikiri wapo sawa na sisi. Dawa yao ni kuwaonesha uhalisia maamaee zao 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…