Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wala sio Dam,hiyo section ya Dar-Morogoro ndio Bado Kwa hiyo Daraja la Juu,Moro-Makutopola tayari Bado vichwa vya train havijafika kutoka Kwa manufacturer,umeme uliopo unatosha Kuendesha na pia Ina majenereta yake automatic.
 
Wala sio Dam,hiyo section ya Dar-Morogoro ndio Bado Kwa hiyo Daraja la Juu,Moro-Makutopola tayari Bado vichwa vya train havijafika kutoka Kwa manufacturer,umeme uliopo unatosha Kuendesha na pia Ina majenereta yake automatic.
 
Ati double stack those r empty containers on the way to Mombasa!
 
Hahahaha bolt jointed rail mfumo ambao umetumika miaka 150 iliopita ndio mumajemga reli ya hvo wakat dunia ya sasa wanajenga welded joint railπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Au ww ni mshamba kutoka ushagoo??
Hakuna cha future in white elephant project

Cha ajabu bado uneme kwenu ni shida hio ndio ajabu tunayoona πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
"Cha ajabu umeme kwenu ni shida"

Installed Power Output 2022:

Kenya - 3300 MW
Tanzania - 1600 MW
 
Kenya zipo five international Airports. In; Nairobi, Mombasa, Kisumu, Eldoret, Isiolo πŸ˜‚
Ni international airports Kwa majina maana nyie Nyumbu Huwa Kila kitunaita international 🀣🀣

Ukija kwenye uhalisia Sasa kuanzia Mombasa na hivyo Vijiji vingine hakuna hata airport Moja inafikia KIA Kwa passengers 🀣🀣
 
Serious u are mentioning those countries in the same sentence with a poor third world hunger stricken kunya? we both know thousands die of hunger on annual bases.
Due to poverty you can’t afford any staple food apart from sourcing from Tanzania . And despite all your poor desperate Kunya governance has to borrow money from the communist country China to subsidize so that you guys may afford. You survive kwa kula ugali sukuma wiki yet you compare yourselves with Swiss. Absurd.
 
You don't have SGR, it's an upgraded mgr. If you want to see SGR in EA just come to Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…