Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The mighty Britam 🔥. Tallest building in East Africa. Meanwhile in Bongolala, they are still waiting for the government to construct their next tallest building 🤣
CCM wanatolewa na Tundulissu soon na kuna watu watapotea nchi kuja kwa 'jirani' kujificha wakipoteza nchi kwa wanainchi halisi 'Chadema'🤣🤣🤣🤣
Zile coup za WestAfrica zmeleta wasiwasi sana kwa tawala za kidikteta na kuiba uchaguzi kama CCM
 
Deep down unaskia uchungu kwa sababu unaona that Kibera slum will be no more in a few years
Nisikie uchungu mm au ww mgeni hunijui vzr waulize wenzako wakupe habari zangu mm kenya hakuna sehem utanidanganya alaf mm nikiamua muda wowote nakuja nawaumbua alaf narudi anytime nikiamu kenge nyinyi 😅😅😅😅😅 kibera ipo na ndio the worse and largest slum on planet haibadiliki ukweli
 
Povuu la green🤣🤣🤣🤣
 
Hiki nacho nini umeandika.?
 
Yes, ni kama waafrika wengi wanavyozikimbia nchi zao kwenda Europe, Asia and America, ndivyo wakenya wanavyoikimbia nchi yao kwenda Tz, kwann nisijivunie ulaya ya East Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…