Naona bado upo vitani kijana wa samiaNambie we mama π
Naona bado upo vitani kijana wa samiaNambie we mama π
Last time I checked we beat you at Afconβ¦when last did you beat Harambee stars?β¦. Yaβll hat no cattleβ¦ I can assure you Taifa Stars will not make the second round at Afcon and forget the World Cup β¦ Kenya has a better chance to qualifyβ¦ we are waiting for Harambee stars in the USAβ¦. Mark and save this postβ¦Kwa sasa kila kitu Tanzania ikigusa imoooo, kwenye soka ndiyo hatushikiki kabisa hapa East Afrika, wale Uganda walikuwa wanakufa mechi zote mbili home and away sema dharau zilituponza ile mechi ya pili. Na ninawaambia tu Tanzania ndiyo itakuwa nchi ya kwanza EA kufuzu kombe la dunia shika maneno yangu, hii ni kwasababu tupo serious hatuleti uchale.
Kenya tulipata hii shida wakati wa COVID pekee na hiyo ilikuwa worldwide. Hawa watu ni mdomo tu wanajua. π€£ π€£
Dodoma is closing the gap with Nairobi so quickly
View: https://youtube.com/watch?v=n_tLJ3MtVa0&si=dcvhl6DtmAo-2UtE
I like your punchlines. π€£ π€£Hii inasaidia vipi kuleta mafuta danganyika?
Tema na nyongo kabisa sio kwa wivu huoπ€£π€£
Bado mnasoma number yetuβ¦Kameumia βοΈβοΈπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Zwazwa kaleta picha za mikoani karibu na mbugani akidhani ni town π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£NDINDA nilipokuambia Mbongo ni dhambi kutaja vumbi hivi ndio nilimaanisha. Miji yenu ni main road pekee, hizi zingine hamzitambui.
Utawaskia wakisema huku tulitoka enzi zile. π€£ π€£
View attachment 2743397View attachment 2743396View attachment 2743395View attachment 2743394
Kwa sasa siwezi kuongea na mkenya kuhusu soka, sio level yako mimi.Last time I checked we beat you at Afconβ¦when last did you beat Harambee stars?β¦. Yaβll hat no cattleβ¦ I can assure you Taifa Stars will not make the second round at Afcon and forget the World Cup β¦ Kenya has a better chance to qualifyβ¦ we are waiting for Harambee stars in the USAβ¦. Mark and save this postβ¦
But the difference between us and you is yours is blind and dumbβ¦. Thatβs why you scream Kibera yet you live in Uswazilandβ¦.thatβs called blind patriotismβ¦π€£π€£
Mbona nyang'au "wafukuza upepo" siwaoni hapo?π€£π€£π€£Kwani kenya iko wapi??π π π π
View attachment 2743480
Sina hakika..Hivi Yapi Merkezi walishamalizana kwenye malipo? Naoana bado wamegoma kutoa video za maendeleo ya ujenzi.