Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na hapo tumeweka Magufuli city tuu bado centres nyingine kama Ihumwa, old dodoma na maeneo mengine mapya yànayoendelezwq.
 
Eneo kubwa Nairobi ni pori usibishe, eneo lililojengeka Nairobi ni dogo sana, Nairobi national park ndiyo imechukua nafasi kubwa, huwezi kulinganisha na Dar. Huo ndiyo ukweli accept it then move on.
 
Na hapo tumeweka Magufuli city tuu bado centres nyingine kama Ihumwa, old dodoma na maeneo mengine mapya yànayoendelezwq.
We bwana wee Dodoma ni zaidi ya miji yote ya East and central Africa kwa sasa, hakuna cha Dar, Nairobi wala Kigali. Dodoma ni DC kabisa aisee. Kuna Mbotswana mmoja alipita pale airport alisema nchi yenu nzuri sana (hizo appreciation nazipata sn) nimefika Dodoma ni pazuri sana alafu kubwa sana.
 
Eneo kubwa Nairobi ni pori usibishe, eneo lililojengeka Nairobi ni dogo sana, Nairobi national park ndiyo imechukua nafasi kubwa, huwezi kulinganisha na Dar. Huo ndiyo ukweli accept it then move on.
Tunajua hiyo eneo kubwa ya Dar kuna hadi shamba za mihogo. Unafikiri hii Dar yenu hatuijui?

Jiji la kishamba sana sana kuliko zote ukanda huu.

Hizo maeneo mnaita pori are posh neighborhoods with lots of trees and green spaces, the epitome of any rich neighborhoods. Yani huko unavuta hewa safi, mandhari ni tulivu na ya kuvutia. Unalinganishaje na vile mitaa zenu za dreamhouses ambazo nyumba zimebanana kila upande bila mvuto wowote?

But tunaelewa ni chuki inawasumbua everytime you remember there are no such tree cover in your residential areas. Of course lazima uite za wengine pori
 
Sasa mbona umekasirika?🤣
Nikasirikie mtanganyika kama wewe na vilaza wenzako ambao wako obsessed na masuala na nchi jirani ilhali hawajui kinachoendelea ndani ya nchi yao? Now that you know how much KQ is making in losses, can you tell us how much ATCL is making in profits

Unafikiri mimi ni kilaza kama wewe?
 
Don't focus too much on KQ. Umesahau you also have an airline? Tell us how much ATCL has made in profits
Air tanzania imepunguza loss kwa mwaka mmoja almost 50% na mwaka huu ndio utaona kua loss inapungua na vp kuhusu nyinyi loss kila siku inazidi yani loss iliopatikana mwaka huu kwa miezi sita nikubwa kuliko ya mwaka jana mwaka mzima😅😅😅😅😅
 
Dar ina miti mingi kuliko Kenya nzima unabisha? Nchi yenu 3/4 ni jangwa unawezaje kulinganisha na Tz.
 
No future in Kenya.
 
Of course largest in terms of hosting ailing and dead companies such as KQ and Mumias Sugar 😁
How you wish. It also hosts the region's biggest companies.

Safaricom, the region's most profitable company is hosted at the NSE, same as Equity and KCB banks, the region's biggest banks just to mention a few

And just to remind you, stock exchanges are measured in market capilization. NSE's current market capitalization stands at KSH 1.57 TRILLION. Mark the word KSH

Hicho kibanda chenu mnaita stock exchange has a market capitalization of $6b. Hizo sijui ni hela ngapi za madafu but it translates to around KSH 900 billion at the current exchange rate. Yani that'sa difference of a whopping KSH 600 shillings na bado unatoa povu za uzalendo hapa! DSE Archives
 
No future in Kenya msee.
 
Tumepokonya Wakunya soko la Uganda🔥🔥

More than 60% of Uganda imports comes from Tanzania.
 
Unazidi kutoa povu la kinyang'au🤣🤣
 
Saidia huyo kilaza mwenzako utuambie ATCL imetengeneza faida ya shillingi ngapi hela za madafu kabla ya kupost losses za KQ
Kenya ni nchi ya kipumbavu sana, over 70% of Nairobi population live in slums. Most of them reside in Kibera which accomodates more than 2.5mil slum dwellers including you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…