Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Tanzania haijapangwa wanajenga fwaa tu Kama makondoo.Bado wanasema nimeonyesha main roads za Langata. Heheeee
Langata
View attachment 2721619
Mbezi
View attachment 2721621
Hehehee
Ikumbukwe Langata ni Middle Class ya Nairobi na Mbezi ni High Class ya Dar. ๐คฃ ๐คฃ
Hamna rais humu!
๐คฃ ๐คฃWacha kujichokesha na hawa mafala ๐๐๐, Dar is a slum huwezi pata estate ya middle class kama Langata au Buru.
Kijana wangu ChoiceVariable anakuambia hakuna kama mama, 2025 hana mpinzani. Ma.ma.e niko pale nasubiri kwa ham ๐Hamna rais humu!
Mpira waachane nao hawa kima