Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alaf wanabakia kushangilia huku tanzania inaongoza export kwao na hawashtuki 🀣🀣
 
Zwazwa Anakwambia hakuna nyumba za wazungu chongchung ungemuuliza hayo magorofa over 90% yanamilikiwa na mashirika ya kina nani? Na wale binaadamu wanaoishi kibera pekee over 2.5m people ni wazungu au wachina??🀣🀣🀣🀣 na what about zile slum zilizobakia ziko kama 50 hvi wanaishi kondoo na mbuzi au?
 
You people will share BS from twitter knowing very well that twitter is social media full of people's personal opinions yet you'll cry foul whenever a Kenyan does the same. I love your hypocrisy. 🀣 🀣 🀣
 
Wewe ni mpumbavu! Sijasema lolote kuhusu Twitter, nimeongelea baadhi ya accounts zilizo kwaajili ya biashara na zinavyotumia wajinga kujinufaisha.
 
Wewe ni mpumbavu! Sijasema lolote kuhusu Twitter, nimeongelea baadhi ya accounts zilizo kwaajili ya biashara na zinavyotumia wajinga kujinufaisha.
Hasira ya nini bradhee?🀣🀣🀣 Sindano imekuingia eeh?🀣🀣
Nimesema Twitter Ni maoni ya watu binafsi. Unaweza kubaliana nayo ama usikubaliane. Ni unafiki kukashifu tweets zikitumiwa kama evidence yet wewe mwenyewe unatumia tweets kama evidence.
 
Ajabu ya wakenya duniani ni kua middle class ni yule anaeweza ku rent bed sitter na 2 bedrooms πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Wakat tanzania middle class ni yule anamiliki nyumba ya kisawasawa na baadhi ya magari binafsi ikiwemo na biashara zenye kueleweka

Tofaut ndio hio chongchung mfikishie habari yule msukule wao πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Na akibisha tu let me know nifanye kama nilivofanya mwanzo

Hii ni ile mbezi hawapendi kuiona🀣🀣

View: https://youtu.be/eAcFsqemrF4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…