Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unahangaika sana Kaka!
 
Chizi wewe hebu nioneshe 30km ni kutoka wapi kwenda wapi inside nairobi city ??πŸ˜…πŸ˜…

Wakat kutoka CBD kwenda westland ni 3km kutoka CBD kwenda upperhill ni 3km au ??
Una furahisha sana. Uko tu sawa.
 
Unahangaika sana Kaka!
Mm kazi yangu ni moja tu kuwaambiwa ukweli na nilishawaambia hakuna mbongo mutamdanganya nyinyi unajua kwann mumesahau kua dunia ishafika 2023 nyinyi bado munaota dunia iko 2010 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Uhahahha importers gani waongo? Wao wengewe wanaumbuliwa chizi wewe ndio maana muna akili ya kuvukia barabara tuπŸ˜…
Watu wengi wenye matusi huwa hawana elimu ama ndio fala. Sababu, mi sioni hapa kitu cha mno jinsi unavyo hangaika na kutusi bila hoja. Unashida!? Kuna watu kama Ndinda, Game Over, etc hurusha hoja zao kistaarabu. Wanajielewa
Hata hivyo roho mbaya haijengi, ila elimu kuhusu Nairobi utapata tu.
 
Mm kazi yangu ni moja tu kuwaambiwa ukweli na nilishawaambia hakuna mbongo mutamdanganya nyinyi unajua kwann mumesahau kua dunia ishafika 2023 nyinyi bado munaota dunia iko 2010 [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Very old cars na registration ni generation D
[emoji23]
Imagine Kenya gari old hivi KDA??
Unajua usajili wa magari Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…