Haya una uhuru wakulinganisha Dar kwa hizo slums zote maanake mtu na kakake. Chukua Masaki Linganisha na Githurai, Makumbusho na Kawangware Mwananyamala hata Uthiru inaishinda, hivo sasaWhat about makuru kayaba slums, mathare, kariobangi, umoja slums etc au nikupe list we kondoo au unafkiri sisi wageni nairobiπ
View attachment 2685231
Kwanza nicheke π π π π π€£π€£π€£How many high-rise buildings are in Mombasa now!?
Ww na mzungu aliekweka satellite hewani nani mwenye akili ??π π π π ww kondoo uwe na akili kuliko google earth ??Haya una uhuru wakulinganisha Dar kwa hizo slums zote maanake mtu na kakake. Chukua Masaki Linganisha na Githurai, Makumbusho na Kawangware Mwananyamala hata Uthiru inaishinda, hivo sasa
Labda kwa zile school estate,(gate estate)Hapo ni maeneo duni Nairobi na hatujawai sugarcoat kinyume na nyinyi. But majority ya Nairobi ipo well planned ukilinganisha na dar
Ni mwendo wa kujichora tu huyo mwamba wa kichokoraahizi huwezi ona zinapostiwa humu.
Ruiru ni kiambu county so?? π π π ukiambiwa nairobi ni ndogo sana kubaliActually Nairobi has roughly a diameter of 56Km though some cross-sections go beyond 70Km.
View attachment 2685248
This is how the far south looks like, 30 Km from the CBD
View attachment 2685249View attachment 2685250View attachment 2685251View attachment 2685252
Hivi mambo ya Magari achana nayo, Kenya ni league ingine.Range rover sport 2023ππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ ama kweli ishi uone mengiAfter Cairo and Johannesburg no other city in Africa has many Mid-rise buildings than Nairobi.
View attachment 2685245
Who is Db cooper ??π π π πHivi mambo ya Magari achana nayo, Kenya ni league ingine.
View attachment 2685256
Utaelewa tu. 30Km from Nairobi CBD.Ruiru ni kiambu county so?? π π π ukiambiwa nairobi ni ndogo sana kubali
696km sq my friend au ni uongo
View attachment 2685254
Hii ni range Rover velar... Sport ni kubwa kuliko hii.Range rover sport 2023ππ
Tangu lini mukaendesha magari left hand side hvi nyinyi mbona mumekaa kama kondoo kazi kudanganywa na kuswagwa na wanasiasa π π π π π π πHivi mambo ya Magari achana nayo, Kenya ni league ingine.
View attachment 2685256
Sasa hapa unabisha nini!?Who is Db cooper ??π π π π
Kazi yenu ni kuchezewa na kupigwa kama ngoma makondoo nyinyi π€£π€£
Chizi wewe hebu nioneshe 30km ni kutoka wapi kwenda wapi inside nairobi city ??π π