Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kipya kilichopo kwenye hizo barabara zenu hakiko kwenye barabara za Magufuli city, kama ni gas, electricity, internet, water, etc sio vitu vya kuuliza

 
Huu ndio Uswazi? Imagine haya ndio makazi ya average people in dodoma

 
Huwa Mimi ninashangaa Sana kusikia wakenya wanasema eti Kenya Kuna demokrasia na Uhuru wa kujieleza, sijui wanasema wakiwa wamelewa au ni matatizo ya akili?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wana matatizo ya akili yaliyochangiwa na makazi duni/ slums. Imagine unakulia kwenye slums utakuwa mzima kweli kichwani?
 
Wewe ni mpumbavu wa wapi? Mbona ni vitu vya kawaida? Ukituonyesha km 10 ya barabara ya lami Konza nahama humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…