Kwa mnara ni sawa...hehehe Ila TPA unaijua shughuli yake.....mnara 60M jengo 140Mtallest building EA
kumbe KBC...tv ya ******* wa kikenya..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]by the way kuna habari nimetazama za GDP growth Tanzania slowing down channel ya KBC kenya.
Hii sasa ndio airport!
Kajengo kanaonekana kabisa ni kafupitallest building EA
TPA ni 178MKwa mnara ni sawa...hehehe Ila TPA unaijua shughuli yake.....mnara 60M jengo 140M
wakati tpa pekee ni 157M.....
Ndio maana kuna list zingine za majengo marefu sana exclude spire
By the time mumemaliza hii sisi tutakua 2050Flyover ipo hapo juu inajengwa
Interchange roads
View attachment 455918 View attachment 455919 View attachment 455920 View attachment 455921
Coming ubungo Interchange Flyover
View attachment 455922
http://tanroads.go.tz/uploads/documents/en/1449130015-UNDER PROCUREMENT.pdf
Hio ni expectation au???ππππBy the time mumemaliza hii sisi tutakua 2050
Kenya vs. Tanzania - economy comparisonHio ni expectation au???ππππ
Usiniletee source za watu leta official source nduguπππππ hata mm naeza tengeneza source kama hzo na nika feed data zanguKenya vs. Tanzania - economy comparison
They clearly made the comparisons. Lets just say its this thread summary.
My friend hii ni random link after kugoogle. Attach proof link zako.Usiniletee source za watu leta official source nduguπππππ hata mm naeza tengeneza source kama hzo na nika feed data zangu
Labda nikupe taarifa fupi tazara fly over inakamilika june 2018, ubungo interchange inakamilika 2019 na itakua na floor tatu kwenda juu na zote ziko under construction sasa wewe hofu yako nini
Ndio maana nimekwambia usiniletee source za ovyo kama unayo niletee official sourceππππMy friend hii ni random link after kugoogle. Attach proof link zako.