Apo mbili ndio za kiwango kidogo izo zingine ni za kawaida,kumbuka Mbeya ni jiji sasa jiji bila vifaa inakuaje mkali?Zipo mbona
Maghorofa yanajengwa na hela sio manenoSasa kwako wewe concept ya Maendeleo ni shule tuu? Kwa nini usiweke range of activities?
Unakoelekea utasema magorofa yakiwa mengi ndio maendelea [emoji1787][emoji1787]
Air Tanzania Cargo imeshaanza kazi hilo ulijue pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]In just 3 months kenya exported ovacado worth $64.38m to china
The plant Regulator-Kenya Plant Health Inspectorate Service (Kephis) says it has received inquiries from Malaysia, whose officials want to visit the country to assess if Kenya can export the produce to the country.
Avocado exports to China hit Sh9bn in three months to May
Kenyan avocado exports to China hit Sh9 billion in the three months to May.www.businessdailyafrica.com
Kwa hiyo gorofa inaamua living standards?
CCM inabahati kubwa sana ya kurithi raia wajinga dunia nzima, hizi ndo (km) ππΎmwathadan Coco reborn musipite wima na plz sio lazma kilioπ π π
Ameumiaπ€£π€£π€£π€£Air Tanzania Cargo imeshaanza kazi hilo ulijue pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana nikakwambia hatua zinazochukuliwa sasa na wanaziboresha na pia souther circuit ndio imeanza kufunguka kwenye utalii na mbeya ni lazma itafunguka zaidi kwenye utalii hence zitajengwa hotel zakutosha tuApo mbili ndio za kiwango kidogo izo zingine ni za kawaida,kumbuka Mbeya ni jiji sasa jiji bila vifaa inakuaje mkali?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ndio maana ukiambiwa ww ni kilaza wa aina yake kubali manake mm nakuona kama shati tu π π π π π πCCM inabahati kubwa sana ya kurithi raia wajinga dunia nzima, hizi ndo (km) ππΎ View attachment 2671414
Tuwape muda..Ndio maana nikakwambia hatua zinazochukuliwa sasa na wanaziboresha na pia souther circuit ndio imeanza kufunguka kwenye utalii na mbeya ni lazma itafunguka zaidi kwenye utalii hence zitajengwa hotel zakutosha tu
Hata tukiangalia living standards hamuwezani na Kilimanjaro kamwe,shule,huduma za afya,barabara ,maji,chakula nkKwa hiyo gorofa inaamua living standards?
Kaka mbeya bhana kiukweli isubir kidogo.. juzi nilikua na survey flan Morogoro and yes naeza kwambia bila mashaka Morogoro is more developed than mbeya by far.. na saivi ninachokwambia nipo ndani ya basi naelekea Mwanza nipo Morogoro now na naendelea kukuridhisha kuwa moro ipo vizuriZipo mbona
Ujinga Huwa sipendi kabishane na NBS kuwa Kwa nini Wanaiweka Mbeya Juu ya Kilimanjaro?Hata tukiangalia living standards hamuwezani na Kilimanjaro kamwe,shule,huduma za afya,barabara ,maji,chakula nk
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Umeuona ujinga wakoπ€£π€£Ndio maana ukiambiwa ww ni kilaza wa aina yake kubali manake mm nakuona kama shati tu π π π π π π
Defend your pointUjinga Huwa sipendi kabishane na NBS kuwa Kwa nini Wanaiweka Mbeya Juu ya Kilimanjaro?
Malalamiko Yako peleka NBS
Ndio maana nikakwambia huna akili wewe na akili zenu mostly zinatoka takoni ππUmeuona ujinga wakoπ€£π€£