Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Green City in the Sun. Nairobi
View attachment 2662543
Kila siku mnapost vipicha vya zamani, hamna mpya huko kwenu? Sisi tunapost mpya on daily basis lkn nyie mmekomaa na vipicha vilevile mlivyokuwa mnatutishia enzi zile [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa mzee wa kibera ya USA
 
kina dar ni ushamba tu... inajilazimisha na modernity ila ushamba ni 99%....they can't even transact in English....the universal language
Huyu ndio kafeli kabisa kimawazo maskini ya Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

So, kwa maoni yake it means majiji makubwa kama Guanzhou ni ya kishamba kwasababu hawa transact in English [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wakenya wengi hawana akili wallahi, yn angalia hii response ya huyu kondoo [emoji207]

Kwa akili hizi alafu unategemea tusiwazidi kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Main factor
Wakenya kumbe mmeumizwa sana na hili la wasudan, poleni sana ila tuliwaambia kwamba huu moto hamtawezana nao, wakati nyinyi mmezubaa zubaa sisi wenzenu tuliamua kubadilika na kuijenga nchi yetu katika kila idara kuanzia elimu, afya na miundombinu bora, tegemea maumivu zaidi kila inapoitwa leo kutakuwa na jipya la kuwaumiza, yani tukija kwenye michezo tunawapiga, tukija kwenye peace index tunawafumua, tukija kwenye utali hamuwezani, tukija kwenye infrastructures ndio kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamkosi visingizio nyie mashakahola, juzi Air bus A380 kwa mara ya pili imechagua kutua Dar mkalia weeee lkn mkazoea kwamba Dar int'l airport ni kubwa na modern kuliko yenu, now mmegeukia kwa wanafunzi wa Sudan ila pia mtazoea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Muhumbili ambayo ata rais wa Malawi akiugua homa hawezi letwa!!
Ama Iko juu kwa standards za watu maskini wa chini!!!!!
Waliotapaka nchi mzima.😂😂😂😂
 
Hvi hii nchi imechanganyikiwa au wachache wanacheza na akili za wengi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
We ni ngombe sijawai kuona. Kazi ni kuokota anything and everything kwa Twitter kupost hapa bila hata kukagua. Kama ungefuatilia hio piece ungenotice ilkua satire from Nation, but wewe ni bongolala you wouldn't understand
 
Muhumbili ambayo ata rais wa Malawi akiugua homa hawezi letwa!!
Ama Iko juu kwa standards za watu maskini wa chini!!!!!
Waliotapaka nchi mzima.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo lako wewe una hasira sana, sasa rais wa Malawi unamuweza kipesa? Punguza hasira, just accept the truth and move on you won't die [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…