mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,495
- 6,906
That’s a weak comeback even for your low standard…🤣🤣🤣…. I told y’all Kenyans in the States are not in your league…. Our annual National reunion is coming up next month… wacha nitakupigia mapicha ujionee …Kama hiyo picha ni wewe basi unafanya menial works huko.
There were a lot batches (groups), from placebo to those that were severe. You won't know which category your in unless you do a test.For my case, the jab was mandatory for travel… I feel ok ..no side effects… Lakini I hear stories…😩😩
Some doctors don't like to order a d-dimer test for covid shot adverse reaction reasons, they have been pressured not to say anything about the side effects. What you could do is to tell your doctor that as of lately you've been sitting at work for long hours and you'd like him to order a d dimer test to check if you have any DVT (clots). That way you don't put pressure on him to talk about the side effect.Are you serious 🧐?… Thanks for looking out. I will contact my doctor tomorrow and ask questions using your post even book an appointment if necessary. For real i appreciate your kind information…. Never expected such a gesture from this forum…. You surprised me Chamoto… God Bless… Mashallah…
Hamna uwezo ninyi kununua mahindi toka Mexico. Juzi waziri wenu wa kilimo alilalamika kwamba Kuna "competition" kubwa Sana ya kupatikana kwa mahindi duniani kwahiyo serikali ilishindwa kuyapata.[emoji23] huwa mnaumwa sana tukinunua mahindi Mexico
Hamna mbona bei ya mazao Bado inawafurahisha wakukimaMaamuz ya Ajabu sana.
Kuna wakulima wamekopa pesa benki kulimia Mazao alafu bei itakuwa chini kwa ķukosa soko. sijui watalipaje mikopo.
Wakulima wakiona kilimo hakilipi, watapunguza uzalishaji. Wenye malori watakosa mizigo, mabenki yatapungukiwa wateja wa kukopa,makampuni ya mbegu na madawa ya kilimo yatapunguza uzalishaji,mbolea zitakosa soko lililoķua linakua,
Umaskini utaongezeka hasa vijijini,vijana watazidi kuja mijini kuwa wamachinga kwani hawataona tija kwenye kilimo,na wakija mijini ambako hamna kazi wataishia kwenye umachinga na kujenga makazi holela mabondeni.
Kwavile mauzo ya Mazao nje yatapungua,tegemea shilingi kuzidi kushuka thamani.Tegemea pia wenye maduka ya bifhaa nyingine kupungukiwa na wateja kwani wakulima wengi watapungukiwa pesa. Biashara zitazidi kudorora. Umaskini utaongezeka Bali wachache kama wahindi wenye viwanda watanufaika kwakua watanunua Mazao bei ya kutupa, watasindika na kuuza nje bei ya juu. Si unajua wenye viwanda hawabanwi sana.
Yani siasa za bongo ni shida.
😂😂😂😂😂😂 Ndio huyu ng'ombeAnhaa kumbe huyu ni yule mlevi mwenye demu limoja likuuubwaaa kiumri kuliko yeye?
Dah aisee we jamaa muigizaji kweli sasa Mbona shakahola movie industry ipo mortuary?Are you serious 🧐?… Thanks for looking out. I will contact my doctor tomorrow and ask questions using your post even book an appointment if necessary. For real i appreciate your kind information…. Never expected such a gesture from this forum…. You surprised me Chamoto… God Bless… Mashallah…
Hapo nilishafunga mjadala, yupo Ketepa huyu asiwaumize vichwaThat is not someones car it is yours so it is perfectly legal unaogopa nini?
What's the end product.....hahaha
Endelea na wivu wako; sisi huku tunachanja mbuga tu🤣🤣Slumy DarWhat's the end product.....hahaha View attachment 2659586
List ya mchongo hiyo. Sahihi ni hii hapa chini[emoji116]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo nilishafunga mjadala, yupo Ketepa huyu asiwaumize vichwa
Wameangalia CAF, league na FA. Mtaumizwa sana na hizi takwimu kwa ss, ni bora mkaachana nazo mjifanye kama hamzioni, itawasaidia.List ya mchongo hiyo. Sahihi ni hii hapa chini[emoji116]
Haiwezekani bingwa wa CAFCC mwenye kombe lake azidiwe points na wavaa hiriziView attachment 2659595
What about Tanzania football ranking....that is where you draw the line [emoji1787]List ya mchongo hiyo. Sahihi ni hii hapa chini[emoji116]
Haiwezekani bingwa wa CAFCC mwenye kombe lake azidiwe points na wavaa hiriziView attachment 2659595