Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzee achana na Arusha kabisa in yo mind, Arusha inaweza simama na Mombasa na ikaikalisha pia, hii umeweka hapa ni taka tu
What you are writing only exists in your head....Mombasa is more developed than daresalaam for a fact
 
TV ziko wapi, nioneshe. Miaka hii behewa halina hata sehemu ya kucharge. TV ziko wapo, wakati kuna nyaya za umeme zinaninginia screen za kuonesha location zimeng'olewa. Wewe unafikiri sisi washamba hatuzijui hizi vyema?
 
Hehe....this overrated town I love YouTube.....I knew the vituko had to be there


 
Ni ajabu sana jambo zuri .. ishu ya Tanzania na Dubai iliyojadiliwa leo bungen haijapostiwa chochote humu. Dadek 😅
Kwasababu hatujui tunaenda kupigwa au tunaenda kupata izo faida lukuki alizoziainisha waziri kwaiyo hatujui tufurahie au tu huzunike
 
One ticket was TSH 700,000....ingekuwa daresalaam ingekuwa a failed concert View attachment 2652988
Tushaachana na hayo mambo kitambo mzee, Watz wanapenda mziki wao sana, weka Boyz II Men hapa alafu kule weka Marioo uone kama Boyz II Men watapata watu. Tuko hivyo yani, tunajali vyetu. Mpaka soka ni hivyo hivyo, tunapenda soka letu kuliko soka la nje, that's bcz we are not slaves like u dumbs.
 

Wakunya ni kondoo, they can’t support wasanii wao, kazi ni kushoboka na wasanii wa nchi zingine.
 
TV ziko wapi, nioneshe. Miaka hii behewa halina hata sehemu ya kucharge. TV ziko wapo, wakati kuna nyaya za umeme zinaninginia screen za kuonesha location zimeng'olewa. Wewe unafikiri sisi washamba hatuzijui hizi vyema?
Mkuu, nimekuwekea hiyo video huyo kaimu mkurugenzi anasema kutakua na TV, sidhani Kama anadanganya.

Ila mkuu, kwa pesa hiyo ya euro 27M, kwa idadi hiyo ya mabehewa hayo na vichwa viwili, hilo ni deal zuri kuliko hata hayo mabehewa toka Korea, hata bila kuwepo kwa TV ndani.
 
Hehe....this overrated town I love YouTube.....I knew the vituko had to be there


🤣🤣🤣 Mzee hii video ime cover mtaa mmoja tu Arusha ambapo hata si City center .. kwahyo ndio unatumia kujifariji.? 👇 Unajua hii kuwa ni Arusha city Iko na Mitaa minne yenye maana.? 1. Uzunguni hii👇.. Chuga City center 👇 halafu kunahiyo mitaa ya mianzini hadi Philips 👇 Halafu tuko na mtaa ambao mimi napenda kuita ni administrative street.. where East Africa's HQ is 👇+ regional office and district office and many more offices.. hapa ni kama niseme ni Arusha's financial district.. mjomba Arusha ni proper city wacha mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…