Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

shame on them.......at one point m23 beat them a good one
TPDF has never beaten by any body, it has completed all missions it participated, not like KDF which fails in almost all were they go like in South Sudan, and now in DRC.
 
Enzi hizo mwaka 2008 tuliweka Thread huko SSC kuwa Mall nyingine mbadala Wa Mlimani city ilianza kujengwa ila sijui nini ikatokea Ika stall kwa miaka 15, Leo nimeenda kuchungulia TOT Bonanza pale Viwanja vya Kijitonyama nimekuta Kazi za ujenzi zinaendelea

Bango la Enzi hizo.


.
Sasa hivi wameweka uzio mwingine na Ujenzi unaendelea .


 
Kwahyo bila kupepesa macho, sahii ni kwamba kuna malls kubwa mbili U/C in DAR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…