Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

They starved themselves?, hahaha

They starved themselves
 
Next time will add the word permanently at the beginning of my sentences when a Luo becomes a president [emoji16]
 
Wewe mla wajaluo, hakuna Hospitali ya Kenya yenye hadhi hata ya kufua nguo za rais wa Tanzania. Shughulika na failed state yenu, nchi ya ukabila hiyo Wacha kutetea ujinga.
 
Lakini ukiangalia consumption of fertilizer per acrerage wako Juu kwenye mazao mengi Mzee..

Shida sie tunaangalia ukubwa wa eneo linalolimwa badala ya Tija ya kinachozalishwa,Iko hivyo hata kwenye mifugo nk
Kenya lazima atumie mbolea nyingi kwasababu ardhi yao haioti kitu bila mbolea sisi arable land ni kubwa sana na most places ni virgin land inatumika kulima hivyo watu wengi hawatumii mbolea mimi mmoja wao.
 
African mentality.
Tembelea nchi zilizoendelea .
Plus the richest clubs ni either NFL, BB OR NHL
Football is a poor man's sport.
Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu Mpfyuuuuuuuuuuuu
 
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma leo amesema baada ya kukamilika kwa Ikulu sasa wanatarajia kujenga jengo la kisasa (Samia Complex) ndani ya eneo hilo kubwa la Ikulu lenye Ekari 8473 na tayari michoro ipo tayari ambapo kwa sasa wanahangaika kutafuta fedha ili ujenzi uanze.

Rais Dkt. Samia amesema “Eneo hili bado kuna kazi ya kufanya na hatua inayofuata ni ujenzi wa jengo la kisasa ambalo Wasaidizi wangu wameliita Samia Complex ambalo litakuwa na ukumbi wa mikutano wa Watu Elfu mbili mpaka Elfu tatu, nyumba za Viongozi hasa Majirani zetu wa EAC na SADC kutakuwa na Zanzibar Lounge, East Africa Lounge, uwanja wa golf, viwanja vya michezo, njia za ndege na sehemu za historia za Viongozi wa Nchi zetu”
#MillardAyoUPDATES
 
African mentality.
Tembelea nchi zilizoendelea .
Plus the richest clubs ni either NFL, BB OR NHL
Football is a poor man's sport.
Wacha upumbavu wewe, mchezo mkubwa duniani ni football tu , na ndio mchezo unasaidia ukuaji wa chumi za mataifa mengi all around the world, michezo mingine ni ziada tu
 
Na walikuwa wanajiita superpower Russia.
Nchi ya upuzi wamelemewa na nchi maskini Eastern Europe Ukraine.
America walilemewa na cave men Afghanistan after 20 years. Vita sio unavyofikiria mdanganyika. Russia wametwanga Ukraine kabisa yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…