Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kabisa umenizidi kila kitu as far as ujinga, umaskini, bahati mbaya (kuzaliwa Kenya), maradhi, njaa are concerned.
Wewe bongolala endelea kujifariji. Wewe nakuzidi kwa kila kitu na nitaendelea kukuzidi hata zaidi
 
Wewe bongolala endelea kujifariji. Wewe nakuzidi kwa kila kitu na nitaendelea kukuzidi hata zaidi
Tunaomba data za "value of Kenyan export of manufactured goods tulinganishe na Tanzania Ili tujue wapi Kuna strong manufacturing sector. Usijisahaulishe tafadhali.


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wajinga Fulani wanakaa tu kutafuta watu wenye furaha.Hakuna watu wasio na furaha kwa ssa kama Ulaya kutokana ukorofi wa Putin
Pia wenye njaa naona wanafuraha kama sio taarifa za kupika, kupita mitaani na masufuria ni furaha?
 
Kwasababu Tanzania tumeungana na Kenya, hii kitu naomba tusishinde.
Hahaha, hahahaha, hahahaha

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Its obvious itafanyika either Egypt or Algeria, kwasababu (1) wanafitina, waarabu wakitaka kuhost kitu lazima washinde, (2) wana viwanja vingi na vizuri, na huduma nyingine zipo kama hospitals, airports, and other infrastructures nzuri within one country, esp in hosting cities
 
Kwa taarifa hii, moyo wangu umeburudika Sana. Ngoja tujiandae Ili tuweze kuomba sisi peke yetu miaka ijayo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…