Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Toa ujinga wako hapa
 
Draw itakayotoka Simba ni sawa na hii ambayo wenzie waliipata 😁😁😁
Sometimes jiongezeni, tumieni akili..
hizo timu zote walizocheza vs Wydad haziko level moja na Simba, hao ni level ya Yanga.. Simba wenyew wanauwezo wakuwatoa hao wote..
Wydad na Simba level iko sawa.. wakifungwa sana ni difference ya goal moja
 
Fala sana wewe hiyo Wala haitamsaidia kuepuka kichapo Cha 5 😁😁😁😁
 
sawa nyumbu wa kutoka lamu port imayosafirisha ngamia na mbuzi
mi nipo kitambo toka 2017 sema MODS wakiamua kufanya yao wanakugonga life ban .....
Unamaanisha umekuwa kilaza tangu 2017? Huo ni muda mrefu sana! Hivi, wewe ni katibu ama mwenyekiti wa vilaza wa bongo humu?
 
Kuna jipya gani hapo maana viwanda vya Wachina ni vile vile sana sana hapo wanafanya expansion tuu
Kizungu ni mtihani kwako mzee 🀣🀣 kuna kiwanda kipya kinajengwa kwa jina la Hengya Cement. Kwahvyo itaifanya Tanga kuwa na viwanda vya cement vinne kutoka vitatu vilivyopo

1.Tanga cement
2.Kilimanjaro cement
3.Huaxin Cement yani hiki apa linaonekana kwa mbaali πŸ‘‡
4.Hengya cement (hiki ndio kipya U/C) .. pitia hapa πŸ‘‡"Hengya Cement (Tanzania) Co., _Hengyuan International Engineering Group Co., Ltd." Hengya Cement (Tanzania) Co., _Hengyuan International Engineering Group Co., Ltd..

🀣🀣 Tanga ni balaa mjomba .. viwanda vinne vikubwa vya Cement ain't a joke
 
Hii sio mitungi ya mkojo Bali ya kinywaji pendwa 😁😁

TBL Mbeya Breweries
 
Kweli wewe ni kichaa unapost bia mbele ya investment ya $500+ million.? 🀣🀣 Kiwanda cement.?

Hold on hii facility hii ya TBL ni U/C pia.? 🀣🀣 Au ni kuchanganyikiwa.?
Unadhani kiwanda Cha bia Cha Mbeya kinalingana na Kiwanda gani Tanzania? Unadhani investment yake ni sawa na hako kadaraja unakonpost renders Kila siku?

Mbeya City on the rise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…